Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Last edited by a moderator:
Mkuu Baada ya Urusi inayofuatia kwa nguvu duniani ni Mchina halafu ndio M-Marekani. Marekani amebaki ni jina tu hakuna kitu Hali yao ya kiuchumi imeanguka hakuna kitu amerika kumebaki Magora yanayofikia karibu na mbingu na Mabarabara mazuri basi hakuni jipya Amerika.Sikujua China ipo juu ya America.
safi sana Russia.