Mama mmoja na familia yake baada ya chakula cha mchana akaauliza watoto wake,jamani mbona toothpick kila nikinunua zinaisha haraka? House gal akajibu,labda uwaulize wanao maana mimi kila nikimaliza kutumia huwa narudisha.
Mama mmoja na familia yake baada ya chakula cha mchana akaauliza watoto wake,jamani mbona toothpickkila nikinunua zinaisha haraka? House gal akajibu,labda uwaulize wanao maana mimi kila nikimaliza kutumia huwa narudisha.
Umenikumbusha jamaa fulani alitoka out na demu na alikuwa fedha kiduchu sana. Baada ya kuagiza mazagazaga kibao jamaa akagundua pesa imeshabalance, ikawa siri yake. Mwisho kabisa yule demu akamwita waiter na alipofika akamwagiza amletee toothpick 2, jamaa alikuwa hajui ni kitu gani akaanza kumwakia mpenzi wake, "mi hela yote nimeshamaliza kwa hizo toothpick zako utalipia mwenyewe". Alishangaa kuona wenzie wakimcheka!