Ni wewe tuNi Jamaa not Me
Madhara ya kuimport vitu kama hivi wakati nchini zinaweza kutengenezwa tu matokeo yake ndo haya.Wasalaam Wana JF, Hii habari nimeitoa kwenye group la WhatsApp, ni ya kweli na imemtokea Jamaa ambaye tupo nae kwenye group la WhatsApp la Liverpool One Family.
Anaanza kusimulia
Habari zenu nyote humu ndani poleni na majukumi
Awali ya yote napenda niwashilikishe jambo ambalo limenitokea mimi mwenyewe na sasa nipo kitandani ninaugulia maumivu
Ni hivi siku moja zimepita wiki mbili sasa tulikuwa na ndugu zangu tunapata chakula sehemu moja hapa Iringa maarufu Nelly Nyama choma ipo maeneo karibu na uwanja wa samora tulipo maliza kula tunanyanyuka tuondoke zetu mmoja wetu akaigonga meza kwa bahati mbaya chupa ya soda ikawa inadondoka mimi nikaona niidake isivunjike kwa bahati mbaya nilikuwa nimeshika toothpick mkono wa kushoto hivyo nikaigongesha kwenye meza ikaingia kwenye kidole cha kati cha mkono wanu wa kusho. Japo kuwa iliingia kipande kilefu lakini iliniletea maumivu makali sana na niliivuta kuichomoa binafsi niliona ni kawaida tu kwa kuwa mala nyingi ninaumia hasa kwenye mabati nikaona kama ni jambo dogo tu.
View attachment 2932168
Sasa baada ya siku kama tatu mbele nikaanza kupata maumivu makali sana kiasi kwamba sikuweza kupata usingizi kabisa yaani nalala macho ndipo nikaamua kwenda zahanati ya Police hapa Iringa nikawaeleza tatizo huku nikiwa na maumivu makali sana Daktari akasema inawezekana baada ya kunichoma hiyo stick inaweza kuwa Bacteria yule anaesababisha kidole kuvimba huwenda ameingia kwenye kidole hivyo akanichana ili kuukamua usaha utoke matokeo yake ilitoka damu tu ambayo ilionesha ni nyeusi iliyo changanyikana na usaha hivyo akaniambia nirudi baada ya siku tatu usiku ule sikupata usingingizi tena hivyo nikapata wazo la kwenda Hospitali ya Roman Catholic mshindo Iringa baada ya ndungu yangu kuniambia pale wana madawa ya vidonda
Hivyo nikaenda hapo kufika pale Dactari kukichunguza kidole akasema wala sio mdudu wa kwenye kidole ni kwamba Ile stick ilikuwa na sumu hivyo kidole kinaoza na ningezidi kuchelewa kingekatwa
View attachment 2932179
Hivyo akanipaka dawa kama mafuta ya mgando hivi akanifunga yaani baada ya kama masaa mawili hivi usaha ukaanza kutoka wenyewe kama unavutwa na kitu yaani sehemu ambayo haina tundu la kjpita panavimba mpaka panataka kupasuka na ndiyo hapa kwenye hii picha sasa ambapo walinitoboa kuutoa nje usaha mapaka ngozi ikasinyaa nesi alie nihudumia yaani jana jumapili akaikata kama jnavyo kiona kidole hapo ili usiendelee kuvimbisha kidole HII NI STORY AMBAYO IMENIKUTA MIMI MWENYEWE na Daktari anasema itanichukua miezi mi3 kupona hiki kidole na hapo nimeandikiwa sindano 5 na kila sindano moja ni 25,000 nimeshachoma 4 kesho ninaenda kumalizia ya mwisho naomba sana tuwe makini sana na hizi Toothpick kumbe zina SUMU ndugu zangu
View attachment 2932184
Mkuu sio Mimi mbona nimeandika hapo hii habari nimeitoa kwenye group la WhatsApp?Pole sana mkuu, kama pesa ipo jaribu kufatilia zaidi na hospitali zingine kwa uhakika zaidi, itakuwa hapo wamekupa tiba ya mtanzania mwenye uchumi wa kawaida, Nenda hospitali kama Agha khan kuna vipimo zaidi, madaktari bingwa na tiba nzuri zaidi ila inaweza kukugharimu hata laki 2
Afya ndio mtaji wa kwanza, pesa zipo tu
Mkuu nisamehe si unajua tena kabla ya kulala lazima ushtuePunguza upuuzi pale Mtu anapotoa taarifa yenye uzito
Pole yake jamani.Wasalaam Wana JF, Hii habari nimeitoa kwenye group la WhatsApp, ni ya kweli na imemtokea Jamaa ambaye tupo nae kwenye group la WhatsApp la Liverpool One Family.