'tooth ache' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'tooth ache'

Discussion in 'JF Doctor' started by donlucchese, May 4, 2012.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,351
  Likes Received: 3,489
  Trophy Points: 280
  tooth ache can realy be a pain i the a**. tangu juzi jino lilikua linanipa shida kias kwamba hata kulala ilikua haiwezekani usiku. but nika invent a relief method ambayo wengi hawataamini but actually it works. mkojo (urine) can realy help to reduce the pain of tooth. simply weka mkojo wako ktk chombo flan or kichupa then unafanya kama unasukutua but humezi unautema. do this and u wont believe how it helps!
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  mmh,ya leo kali
   
 3. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  He! Naungana na mdau wa pili hapo katika kushangaa.

  Una asili ya kihindi ndugu yangu? Samahani kama nimeudhi baadhi maana nimeshawahi kusikia mara kadhaa kama kuna baadhi huwa wanakunywa kama dawa.
   
 4. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  ni kweli mkuu.
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hii kweli ni NEWS ALERT!
   
 6. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii ilifaa kuitwa Breaking news.
  ha ha ha
  OTIS
   
 7. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,351
  Likes Received: 3,489
  Trophy Points: 280
  hapana mkuu mi ni mmatumbi typical
   
 8. S

  Sweetlol Senior Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli ww ni mzee wa loliondo
   
 9. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,351
  Likes Received: 3,489
  Trophy Points: 280
  yes mkuu weng hawaamini
   
 10. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa ukweli jaribu kwa dharura na kama kweli utatizo na jino tumia Mchalaka(kilugulu), mchalaka (kisambaa/kizigua) Spirostachys africana (kisayansi)

  Matibabu yake

  Chukua kiini cha mcharaka/mchalaka (xylem) (kile cha ndani mara nyingi huwa cheusi) chemsha na maji lita moja kwa muda dakika 20-30 au chini ya hapo kama moto ni mkubwa
  Matumizi
  Tumia kupigia mswaki asubuhi na jioni kwa muda wa wiki moja
  NB
  Dawa kwa muda wa siku mbili na chemsha nyingine

  Kama mti huo unapatikana kirahisi maana unapaktikana katika maeneo ya uwanda wa chini (Low land trees)
   
 11. phina

  phina JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ABOMINATION!!
  necessity is surely the mother of invention..tutakunywa na visivyo nyweka jamani!
   
 12. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo uganga wa jadi sasa.
   
 13. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,351
  Likes Received: 3,489
  Trophy Points: 280
  usibishe kitu usichokijua. unajua urine therapy wewe? dah, kweli mwafrika mwafrika tu.
   
 14. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mwenzio hapa naenda ng'oa jino sijalala sikumbili mfululizo
   
 15. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,351
  Likes Received: 3,489
  Trophy Points: 280
  pole mwy, i feel u
   
Loading...