mimi mpole ndio ninaempenda mimi,kwani ukali kwangu na mimi siwezi.ingawa watu wengine huwa wanasema mtu mpole anakuwa msiri,au wa chini chini. ila ni vizuri kujuana tabia ili isitokee usumbufu. s.times wengine mwanzo wana pretend tabia baadae unaona tabia yake sivyo ilivyokuwa mwanzo.unajiuliza ndie fulani huyu kweli?
Wanawake huwa mnawapenda bad boys mtu akiwa perfect sana anaonekana hajui mapenzi!
Learn how to forgive urself. If Jesus could die on the cross for u, nobody is too good for u gal! ukiwa karibu na mtu mwema anakufundisha ww kuwa a better person. Badilika,na ww jifunze kuwachukulia wengine kama unavyopenda kufanyiwa ww. U can be the change u wanna see around the world!
kwa uzoefu wangu, watu wengine huwa wanalilia kuwa na bahati kama uliyonayo. ama kweli kwenye miti mingi hakuna wajenzi. Ushauri, unatakiwa ujifunze kuwa kama yeye na kizuri zaidi unajua weakness nako ni rahisi sana kuisha maisha ya furaha na huyo mwenzio.
kwa jinsi ulivyotuelezea nadhani ukimpata mpole hamtadumu. You need someone who's outspoken and not necessarily he has to be a bad boy or a thug.
Good luck!.
he he he he,hakuna aliye perfect,tatizo hao bad boys hawana label au nembo usoni,kwa hiyo si kila wakati tunawajua na kuwa nao....!!
kwakuwa suala la kujua au kutokujua mapenzi ni relative kwa kila mtu siwezi kulijibia,mi nafikiri good boys wana mapenzi zaidi....!!
Nakuskitikia kidogo kwa kuwa umeathiliwa kisaokolojia kwa namana moja au nyingine. Cha muhimu jitambue unapendwa katika viwango ambavyo haviko katika vipimo. pia nahisi kama malezi lauliyokulia yaweza kuwa yamekufikisha hapo ulipo. Cha muhimu chukulina naye na usimuonyeshee dharau yoyote. Jua kuwa una bahati sana kwa kupendwa namna hiyoooooooooo
nice guys ndo wanaongoza kufinish last na kutendwa madem ila bad boys hakukei ,depends on you still unafall sana idont knw wat kind of chemistry they creat but u love them.men wakorofi huwa haawachwi kirahisi kuna mvuto flani wanao kwenu
Dearest are you inlove???
BtT....it does happen.Hata kama hukua na mambo ya ajabu huko nyuma kitendo cha kupata tu mtu ambae kila kitu anajaribu kuelewa na kukuelekeza taratibu wakati we ni mkali kunatosha kukufanya ujusikie vibaya.Hii yote inatokea pale unapolinganisha jinsi wewe unavyodeal na mambo na jinsi anavyodeal nayo yeye.Kosa hilo hilo we unaweza ukareact tofauti na ambavyo yeye ange/anareact!Muhimu ni kutomuonea kwa makusudi...usijibadili wewe kama ulivyo maana ukali wako ni moja ya quality zinazokutengeneza wewe...kwahiyo ni kiasi tu cha kutokua mwonevu.That way hata ukimgombeza/semesha kwa ukali kama anastahili huwezi feel guilty because it has to be done.
Binafsi nipo kama wewe...naweza kumsema mtu alafu baadae naanza kumuonea huruma.Hata kama alikosea nabembeleza mimi!!
Michelle dear, no one needs to feel that way, hizi ni means tu tunazogenerate kujishusha comfo na kukosa kujiamini.... How the hell do you know huyo mtu pamoja na upole wake alikuaje kabla??
Just feel gud and be gud, and confidence will be there