Wanaanza kumshughulikia mzee wa watu. Kwa nini toka 2008 kesi haijasikika mpaka isikike leo baada ya Kingunge ku-align na EL
Tony na Kinje ni watu wawili tofauti,Tony ni mtoto wa mama yake mdogo na Kinje,but alikuwa anakaa hapo hapo kwa mzee kigunge Makumbusho,anayekaa kijitonyama ni Kinje!
Kingunge alitukana mamba kabla ya kuvukia mto. Jamaa watamshughulikia mpaka akome. Na ile biashara ya parking anaenda kunyang'anywa. Biashara ya sembe inayosimamiwa na Kinje iko mashakani nayo.Jamani Mzee Kingunge si ndiye mshauri wa msuala ya siasa JK kule Ikulu?
Has Kingunge fallen out with JK?Aafu haonekani tena kwenye majukwaa.
Ukichanganya na la kuondolewa Bashe(mtu wa RA) picha fulani inajito
keza
Imesikika wapi?
Hii post inachanganya watu tu, habari hii ni ya zamani imeletwa humu zamani sana kuna mtu tu ameifufuaHii kesi mbona ya 2008. Ilikuweje hadi isubili uteuzi wa Mgombea kupitia CCM?
Kwa maana hiyo CCM na Polisi hulinda na huwafahamu wezi! Ila wakipingana nanyi tu mnawatia ndani?
Kuna mmoja anaitwa Mbiling'ondo alikuwa Kibaha miaka ya 90's .....wako wawili !!
Mtoto umleavyo......