King'astiHahaha. Kutongoza is an art. Na katika art kuna levels mbalimbali, kuna street art na hadi professional na celebrity art. Muhimu angalia level yako, usije kuparamia mwamba ukaanza kutoa povu
True, kuna wanaume wanaitwa pick up artist, its a skill every young man needs