Kabisa mkuuPamoja na kukata mbavu kwa kicheko
Acha tu nionekane mtoto ila hii kitu naipenda kuangalia....
salama kabisa mkuu utafiti na weekend iko poa sana aise hakuna mbayaSalama sana kaka, mambo vipi? Niambie maandalizi ya weekend yakoje?
Mkuu sisi tumetembelewa na mvua kidogo sasa sijui kama weekend hii ni kulala tu....
Hahaha mkuu sisi tumeitengenezea mitaro mizuuuri ikianguka iende baharini...