Tolu wa dunia............... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tolu wa dunia...............

Discussion in 'Jamii Photos' started by Pomole, Feb 11, 2011.

 1. P

  Pomole JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna wakati huyu best alikuwa anashikiria rekodi ya kuwa tolu wa dunia.Sio ngongoti wa kuchonga.Hapo yuko na familia yake!!Hongera zake
  WorldsTallestMan.jpg
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh
  Nawaza kitanda chake ni ngapi kwa ngapi?
  Anavaaje?
  Vipi ukikutana naye ucku ghafla?
   
 4. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwanza inaelekea wakati anatimiza tendo la jamii na mke wake inabidi ye apige magoti mke wake asimamae.
   
 5. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sidani kama ndivo alivyo, hamuoni kama kaunga kwenye magoti hapo, hiyo miguu haijanyooka kama origino, kuna kitu kaunga kwa chini
   
 6. P

  Pomole JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidani kama kaunga kitu,mara nyingi wakiwa warefu hivi wanakuwa na udhaifu fulani ktk viungo na balansi,ndo maana wengine kama hawa wanakuwa na mkongojo kutafuta balansi.Nawasilisha

  imagesCASJSMMT.jpg

  imagesw.jpg
  images.jpg
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  jamani huyo mtu kavaa ile tunaita ngongoti, ukiangalia kutoka kwenye kiuno kuja chini ni kurefu sana kuliko kutoka kiunoni kuja juu
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  huyo ngongoti jamani angalia suruali yake hapo kwenye level ya goti
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Huyu anaonekana kabisa kuwa ni mcheza sarakasi.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  mbona usoni anafanana na mdori?!
   
 11. g

  geophysics JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Acha kuwadanganya watu....hayo ni magongo... Huoni na picha alizoweka ukuta ambazoni ni ya ukweli akicheza baseball? Mtu mrefu kuliko wote duniani anaitwa Sultan Kosen... Fuatilia habari zake katika gueness world book of records au tembelea link hii Sultan Ksen - The tallest man in the guinness world 2010 2011
   
 12. Barbie Maliposa

  Barbie Maliposa Senior Member

  #12
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mmmmmh
   
 13. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anayeshikilia record ya dunia kwa urefu siyo huyo. Huoni kama amesimama kwenye mbao (aka ngongoti)???
   
 14. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Huyu ni ngongoti angalia nguo yake aliyovaa na angalia picha kwenye ukuta utagundua ki2
   
 15. P

  Pomole JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mturuki anafahamika na alichukua rekodi hiyo juzijuzi tuYasome vizuri maelezo ya awali!!!Nanukuu.........."Kuna wakati huyu best alikuwa anashikiria rekodi ya kuwa tolu wa dunia".mwisho wa kunukuu!!!
   
 16. Mtoto mzuri

  Mtoto mzuri Member

  #16
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We acha kutudanganya....huyu ni ngongoti...mbona hajanyooka alivosimama
   
 17. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ni ngongoti....CONFiRMED
   
Loading...