Toka Report ya pili iwasilishwe kwa Rais nimeihama ccm na kujiunga na wazalendo wa kweli cdm

muhindo

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
642
273
1. wakati miswaada hii ya kijambazi inapelekwa bungeni kwa dharula upinzani ulitolewa nje ya bunge kwa amri ya maccm ili yaitikie ndiooooooooooo na mkulu akiwa wa kwanza kwa sauti ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!na akifurahia wapinzani kuondolewa bungeni
2. bila chadema ujambazi huu usingejulikana...lisu alifanya kazi kubwa sana na maccm yakamweka kolokoloni.......
3.kitendo cha kumwagiza kiongozi wa bunge awatimue bungeni wazalendo wetu upinzani naiona dalili ya kupitisha miswaada mingine ya kijambazi kwa ndioooooooooo nyingi...na hii ni hatar kwa taifa
4. ikiwa maccm ndio yaliitikia ndioooooooo na kubeza wazalendo upinzani leo anaelekeza kutimuliwa bungeni wapinzan ,,Je tuendeleee kuamini wezi maccm pekeyao bungeni kujadili sheria hizi??????
ni hatari sana kwa nchi kubakiza maccm pekeyao bungeni
 
Kama MACK ZUCKERBERG na BILL GATES wao Wali DROPOUT pale HAVARD UNIVERSITY..
ANDREW CHENGE yeye alikaza mpaka aka GRADUATE pale ..
Mnategemea WABONGO mtaenda nae sawa.?
 
Suala si uchama
suala ni uzalendo toka moyoni
SIIPENDI CCM
Ila siamini 100% ni wabaya na naamini hata Chadema huenda baadhi ya wahuni wakawepo
ukiishi kwa mrengo wa vyama utaumia
[HASHTAG]#HappyAnniversaryToMeInJF[/HASHTAG]
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe na uchafu wenu joka la makengeza linakuja mlipokee huko jalalan nyumbu msiojielewa nyie
 
Ungeeleweka sana kama ungehamia kambi ya wazalendo wasio na chama...
"nataka tanzania iwe na matajiri wengi mfano wakina kalamag"
 
Back
Top Bottom