Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
kuhusu MJ fatilia utapata uhalisia wa yanayosemwa kumuhusu.Kwahiyo tufuate lipi la kwako au la mtoa mada
kuhusu MJ fatilia utapata uhalisia wa yanayosemwa kumuhusu.Kwahiyo tufuate lipi la kwako au la mtoa mada
NDIOKwamba hata ishu ya madaktari na waangalizi lukuki ilikuwa uongo?
hakuna ukweli hata mmoja hapo kumuhusu MJ, hayo yote yalikuwa ni mawazo na fikra tu za watu pengine labda sababu ya umaarufu wake na pesa zake...ukifatilia documentary nyingi utaona jinsi
Hapa nitapingana nawe
Mr miller umejenga hoja vizuri na hasa wito ulioutoa mwishoni.
Binafsi niliwahi kusoma makala moja iliyoongelea ugonjwa wa MJ WA ngozi. Ilielezwa kuwa ugonjwa huo alipandikizwa, maana kila uchunguzi uliofanyika ulionesha kuwa hakuna records za ugonjwa huo kwa baba yake mzazi au ukoo wake, ingawa ugonjwa wenyewe huenea kwa kurithi.
Kuhusu story zingine.....nyingi huibuka baada ya watu maarufu kuondoka, wapo ambao hufanya hivyo wakijua wanapotosha lakini mtu pekee mwenye kuthibitisha taarifa hizo hayupo hivyo kuiachia jamii utata.
Wapo wanaoandika kwa kirejea story zisizothibitishwa toka vijiweni bila kufanya uchunguzi.
Na wapo wanaokoleza ukweli uliopo ili kivutia attention ya wasomaji.
Na hii dhana ya kuwa MTU hawezi kuwa maarufu au kufikia mafanikio ya juu bila kuwa masonic worshipper pamoja na vifo vya watu masbuhuri kutokea kabla hatujajiandaa kuwapoteza hivyo kuamini FreeMasons wamemwondoa ni janga kubwa hasa kwa jamii zet changa
siwajui hao freemasons wanajihusisha na nini hasa ila hizi story za watu kusema freemasons ndio wanawainua watu hazina ukweli....kwanini watu maarufu tu na wenye uwezo binafsi!!!!Mimi naona umaarufu Ni juhudi ya Mtu binafsi
Yaani ukakae tu halafu uchawi ukupe umaarufu inakuja kweli!?
Samahani,namuomba uyu wa kwenye picha natamani kuishi nae!Wacko Jacko
Hivi Nini kilimuua !??
Na hayo Mambo watu waliyajuaje km kweli alitaka iwe hivyo?
Tamaa zipi?Ninavyojua mimi ni kuwa MJ alikuwa anafanya mazoezi sana kwa muziki wake, kwa kuwa alikuwa anachoka sana wapambe wake wakawa wanampa madawa ya kumfanya aendelee kufanya rehearsals kwa sana bila kulala
Isitoshe na umri pia ukiangalia
Nafikiri steroids zilimmaliza jamaa
Daa so sad
Binadamu wana tamaa
Kwa hiyo hizo dawa ndio zilizomuua?Ninavyojua mimi ni kuwa MJ alikuwa anafanya mazoezi sana kwa muziki wake, kwa kuwa alikuwa anachoka sana wapambe wake wakawa wanampa madawa ya kumfanya aendelee kufanya rehearsals kwa sana bila kulala
Isitoshe na umri pia ukiangalia
Nafikiri steroids zilimmaliza jamaa
Daa so sad
Binadamu wana tamaa
Kwa hiyo hizo dawa ndio zilizomuua?
huo msemo wa "niliwahi sikia au nilisikia" unatumika sana katika simulizi za uongo.Niliwahi sikia historia yake kuwa ;
MJ amekuwa kwenye taasisi ya kifrimason tokea akiwa mdogo sana.
Hao ndiyo waliomkuza na kumuweka kwenye ramani ya muziki akawa na umaarufu sana na akawa tajiri mkubwa.
Baada ya kuwa star mkubwa na utajiri wa pesa, majumba ya kifahari, magari, n. K.
Akaanza kuwa na kiburi na dharau kwa wakubwa zake wa taasisi hiyo.
Pia , MJ alichoka kumtumikia shetani. Akawa anaanza kutaka kujitoa huko. Aliona sasa ni muda wa kumrudia Muumba wake.
Ndipo jamaa wakamshusha.
Ila yote haya ni fununu tu. So za kuambiwa uchanganye na zako pia.
Tamaa zipi?