Ziweke hapa hizo habari za kweli ambazo unazijua sisi hatuzijui.. Pinga hoja kwa hoja na sio viroja
Kipindi hicho nilikua bado mdogo mdogo..halafu hata simu sikuwa nayo.Ndio.. Alikuwa anafanya kazi sana halafu mapumziko kidogo hivyo akawa anatumia sana dawa za kupunguza uchovu na kumpa nguvu... Unakumbuka Daktari wake alikamatwa na kushitakiwa?
Mimi naona umaarufu Ni juhudi ya Mtu binafsiMr miller umejenga hoja vizuri na hasa wito ulioutoa mwishoni.
Binafsi niliwahi kusoma makala moja iliyoongelea ugonjwa wa MJ WA ngozi. Ilielezwa kuwa ugonjwa huo alipandikizwa, maana kila uchunguzi uliofanyika ulionesha kuwa hakuna records za ugonjwa huo kwa baba yake mzazi au ukoo wake, ingawa ugonjwa wenyewe huenea kwa kurithi.
Kuhusu story zingine.....nyingi huibuka baada ya watu maarufu kuondoka, wapo ambao hufanya hivyo wakijua wanapotosha lakini mtu pekee mwenye kuthibitisha taarifa hizo hayupo hivyo kuiachia jamii utata.
Wapo wanaoandika kwa kirejea story zisizothibitishwa toka vijiweni bila kufanya uchunguzi.
Na wapo wanaokoleza ukweli uliopo ili kivutia attention ya wasomaji.
Na hii dhana ya kuwa MTU hawezi kuwa maarufu au kufikia mafanikio ya juu bila kuwa masonic worshipper pamoja na vifo vya watu masbuhuri kutokea kabla hatujajiandaa kuwapoteza hivyo kuamini FreeMasons wamemwondoa ni janga kubwa hasa kwa jamii zet changa
Nafikiri mleta mada angeweka source taarifa alizoweka kuhusu MJ otherwise hazitakuwa na tofauti na zile za tuma ujumbe huu kwa watu kumi na wewe upokee muujiza wako.Kwahiyo tufuate lipi la kwako au la mtoa mada
Nimeinakili kutoka group la Whatsapp. Simjui mwandishi but its worthy sharing. Japo ningefurahi kumjua mwandishi ili nimpe credits zake.Nafikiri mleta mada angeweka source taarifa alizoweka kuhusu MJ otherwise hazitakuwa na tofauti na zile za tuma ujumbe huu kwa watu kumi na wewe upokee muujiza wako.
Ngoja niendeWewe nakutafuta kule kwenye Uzi wa tafsiri za majina.
Naomba uende, Kuna ujumbe wako.
Mode of the storyNimeangalia na kufanya utafiti hii habari sio kweli




Nasubiri kuona reply yako kule juu ya comment yanguNgoja niende
Mshana Jr ujumbe uliakusudia utufikie mimi binafsi nimeuelewa so sina haja yakujua hii makala inaukweli kiasi gani



hilo ndio kubwa na la muhimu 


