Mpolisi karudi home usiku, ili asimuamashe mkewe hakuwasha taa ya chumbani kwake akaaanza kuvua unifom zake, ghafla mkewe akamwambia kwa sauti ya usingizi, MKE: Mpenzi usiwashe taa kichwa kinanigonga vibaya, naomba uende hapo jirani kwa kaduka ka Mangi kaniletee panadol. Mpolisi akavaa chapchap na kukimbia kwa Mangi. MPOLISI: Mangi nipe panadol. MANGI: Hii hapa afande. He afande toka lini umejiunga na Magereza, naona leo umetwanga unifom ya Magereza