Tohara ilivyonisababishia kilema

Tohara ilivyonisababishia kilema

MILL8

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
1,837
Reaction score
880
Miaka hio tohara ndo inaanza kupata umaarufu ukiwa umetahiri unajiona ndo kidume pekee, basi na mimi nikaona isiwe shida na mimi nikafanyiwe tohara ili nitambe mtaani kwetu, kwakuwa walikuwa wanastahili mtaani kwetu kwa sh500 nikawa nawamendea wazazi wangu ili wakienda shambani niwaibie hela.

Siku moja sijui walijisaha wakaacha hela ndo ikawa chance kwangu kuwaibia ili nitimize hitaji la moyo wangu, nikawa nimefika kwa mganga huyo tayari kabisa kwa tohara ilisikika nakufaa... Ndo sauti yangu ikilalamika kwa uchungu ""Mungu wangu"" sauti ya mganga ikishangaa kipande cha nyama alichokikata na mimi nilikuwa nimejishikilia huku damu zikinitoka kwa wingi na kilio juu.

Alinipa huduma ya kwanza nikaondoka nikichechemea, kwanza alipokuwa ananitahiri alivuta ngozi ya juu ndipo akapitisha kisu, hivi ninavyozungumza uume wangu hauna kichwa kama mlivyo ninyi, sasa niko kama jike dume.
 
Pole sana... kwahiyo haugegedi? Au unagegeda kwa staili ya jogoo?

Maana ukigegega kwa dizaini ya kifo cha mende itakuwa kama pump ya baiskeli... usije ukajaza upepo papuchi za watoto wa watu

emmyta usipite huku mama
halafu huyu jamaa kanifumbua kitu kuna jmaaa alikuwa hapendi kabisa nione kitu chake.yaani ngoja nitaleta mrejesho kumbe kuna vitu havitazamiki eeh .ngoja ngoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom