Tohara ilivyonisababishia kilema

Tohara ilivyonisababishia kilema

Pole sana... kwahiyo haugegedi? Au unagegeda kwa staili ya jogoo?

Maana ukigegega kwa dizaini ya kifo cha mende itakuwa kama pump ya baiskeli... usije ukajaza upepo papuchi za watoto wa watu

emmyta usipite huku mama
😀😀😀😀😀😀
 
halafu huyu jamaa kanifumbua kitu kuna jmaaa alikuwa hapendi kabisa nione kitu chake.yaani ngoja nitaleta mrejesho kumbe kuna vitu havitazamiki eeh .ngoja ngoja
😀😀😀usimfanyie hivyo mwenzio
 
Pole sana mkuu,umesema mganga wenzio tulienda hospital hakuna mganga wa kienyeji anaetahiri wale wanabahatisha tu.case kama hii niliisikia Kenya mwaka 2013 sijui nayo iliishia wapi!
 
Pole mkuu. I can feel the pain.

Bora utolewe hata jicho kuliko hiyo machine ya kazi..
 
Tutaamini vipi bila picha ebu weka kwanza ila pole sana mkuu kwahiyo hujawahi kuwakula wanawake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom