Tohara ilivyonisababishia kilema

Tohara ilivyonisababishia kilema

sababu sijiamini na siwezi koga mbele ya wanaume

Nimekuelewa, chukulia kwamba huo ni ulemavu wa kawaida, ishatokea na huwezi kurudisha nyuma.

Jiamini wewe binafsi, as long as you can do it, chill.
 
Mmh pole sna mkuu hayo yanatokea ww si peke yako
Jamani muwe makin na watu mnaowapelekea wenenu wawafanyie tohara hakikisha mnawasmamia vzur maana watoto weng yanawakuta hyo ila ndo watu wanaficha
 
asante mkuu
 
Pole sana... kwahiyo haugegedi? Au unagegeda kwa staili ya jogoo?

Maana ukigegega kwa dizaini ya kifo cha mende itakuwa kama pump ya baiskeli... usije ukajaza upepo papuchi za watoto wa watu

emmyta usipite huku mama
hahahaa!
 
halafu huyu jamaa kanifumbua kitu kuna jmaaa alikuwa hapendi kabisa nione kitu chake.yaani ngoja nitaleta mrejesho kumbe kuna vitu havitazamiki eeh .ngoja ngoja
Hakuna mwanamke asiemtambua mwanaume govinda.
 
Mimi nimetahiriwa 2010,nashangaa nagegeda manzi wangu ananiambia mbona siku hizi Babu kawa mdogo?nikasema hapa nitachapiwa mda so mrefu
 
umeona ee!
 
Pole sana... kwahiyo haugegedi? Au unagegeda kwa staili ya jogoo?

Maana ukigegega kwa dizaini ya kifo cha mende itakuwa kama pump ya baiskeli... usije ukajaza upepo papuchi za watoto wa watu

emmyta usipite huku mama
So funny, you made me laugh man!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom