Tofauti zao ni zipi hasa?

Tofauti zao ni zipi hasa?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Ipad,Iphone na Tablet

Kuuliza si ujinga

cc C6 na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Ipad,Iphone na Tablet

Kuuliza si ujinga

cc C6 na wengineo

kwa haraka haraka ipad na iphone ni product za apple isipokuwa zinatofutiuana kwa ukubwa iphone ni simu na ipad ni tablet,

tablet ni vifaa ambavyo touch screen ambavyo ni vikubwa kuliko smart phone (yani havifiti kwenye viganja vya mkono) na uwa havina keyboard iliyounganishwa japo uwa kuna keyboard ambazo zipo seperate zinaweza kupachikwa,

vifaa vikubwa kuliko simu na vidogo kuliko tablet vinaitwa phablet
 
Vyema na asante.Swali la nyongeza Mkuu,Ipad na Tablet zaweza kutumika kama simu kwa maana ya kutuma ujumbe,kupiga na kupokea?
 
ambazo zina sim card ndio unaweza tumia kama simu ila zingine hazina slot ya simu card kwa iyo ni WI-Fi tu
 
Vyema na asante.Swali la nyongeza Mkuu,Ipad na Tablet zaweza kutumika kama simu kwa maana ya kutuma ujumbe,kupiga na kupokea?
mkuu unaposema ipad na tablet ni kitu kilekile.ipad ni jina la kibiashara la tablet za kampuni ya apple kama samsung wanavyotumia labda galaxy tab 10
 
Back
Top Bottom