Tofauti za maumbile ya uzazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti za maumbile ya uzazi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by wamba, Oct 3, 2012.

 1. w

  wamba Senior Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wana JF, jana nilikuwa na rafiki yangu akawa anasema analalamika kuwa anapofanya mapenzi na mwenza wake (mkewe) huwa anapata maumivu sn kwakuwa uume wake ni mkubwa na mkewe njia ni ndogo hivyo jamaa huwa wanapofanya mapenzi na mwenza wake shemeji huishia kuumwa tumbo na huwa wanaweza kaa hata muda wa mwezi ili kumuacha arudi kwenye hali yake ya kawaida sasa rafiki yangu anakuwa hana raha na hali hii, je nini cha kufanya hapa ili kuondoa tatizo km hili.
  kwenu wana JF mchango wenu wa mawazo unahitajika.
   
 2. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mke wake ni mnene au mwembamba ?
  Ana makalio makubwa au hana? Nikishajua hivi vitu viwili nitajua jinsi ya kumsaidia huyo jamaa kwa kumshauri aina ya style ya kumpa mkewe
   
 3. w

  wamba Senior Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Hi C.T.U ,mkewe mwembamba ila si km model bali ni wa wastani, si mwembamba sn wala mnene sn.
   
 4. w

  wamba Senior Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  for C.T.U makalio yake si makubwa kwakuwa hana umbo nene, makalio yake yanaendana na mwili wake.
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,329
  Likes Received: 2,635
  Trophy Points: 280
  Ni vyema mke wa jamaa yako awe ndiye anyecontrol show...wajaribu kutumia position kama woman on top na nyinginezo...
  Pili jamaa aache mapepe maana wanaume wakishajigundua wana dushelele kubwa basi huwa wanafanya kwa kukomeshea
   
 6. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  aisee jamaa anatakiwa awe mvumilivu na sio kuchopeka tu dude lake loooooooooote na anaharibu mayai ya mke wake
   
Loading...