Tofauti za maumbile ya uzazi

MtoMsimbazi

JF-Expert Member
Aug 19, 2009
1,158
1,771
Habari zenu wana JF.

Jana nilikuwa na rafiki yangu akawa anasema analalamika kuwa anapofanya mapenzi na mwenza wake (mkewe) huwa anapata maumivu sn kwakuwa uume wake ni mkubwa na mkewe njia ni ndogo hivyo jamaa huwa wanapofanya mapenzi na mwenza wake shemeji huishia kuumwa tumbo na huwa wanaweza kaa hata muda wa mwezi ili kumuacha arudi kwenye hali yake ya kawaida sasa rafiki yangu anakuwa hana raha na hali hii,

Je nini cha kufanya hapa ili kuondoa tatizo km hili. kwenu wana JF mchango wenu wa mawazo unahitajika.
 
Awe anampa shemeji kwa mtindo wa kujipimia ili isiwe ina muumiza.
 
mwambie huyo rafiki yako awe anamuandaa mke wake kabla ya tendo landoa aaache papara . pia kuna jelly inaita KY anaweza kuitafuta ikamsaidia kulainisha mambo .
 
Mwinngine akiangaika kutafuta dawa ya kuongeza maumbile mwingine anaingaika kupata dawa ya kupunguza maumbile..Mungu kweli hana upendeleo..
 
  • Thanks
Reactions: awp
HI AWP, nipe njia za kuweza kumsaidia na si kusema aje kwako, kwako akija utafanya nini weka mambo hadharani niweze kumsaidia na si mambo ya vichocholoni.
 
Kwa kweli waachane kabla huyo mwanamke hajapata fistula. Aje tu hapa JF atafuta nungayembe moja manake yapo mengi tu MMU yana mabwawa ya kutosha kuaccomodate hilo dude lote bila shida
 
Kwa kweli waachane kabla huyo mwanamke hajapata fistula. Aje tu hapa JF atafuta nungayembe moja manake yapo mengi tu MMU yana mabwawa ya kutosha kuaccomodate hilo dude lote bila shida

hivi ni lini utajitambua ndugu yangu? Nimetoka hapo jamvi la biashara na uchumi nimekuta mapovu yako kwenye thread ya Mwana JF mwenzio, hivi kama huna la kushauri si ukae kimya bwana? Ah, wengine are so disgusting!
 
hata nafasi za kazi na tenda napo katukana huyo.
 
Habari zenu wana JF, jana nilikuwa na rafiki yangu akawa anasema analalamika kuwa anapofanya mapenzi na mwenza wake (mkewe) huwa anapata maumivu sn kwakuwa uume wake ni mkubwa na mkewe njia ni ndogo hivyo jamaa huwa wanapofanya mapenzi na mwenza wake shemeji huishia kuumwa tumbo na huwa wanaweza kaa hata muda wa mwezi ili kumuacha arudi kwenye hali yake ya kawaida sasa rafiki yangu anakuwa hana raha na hali hii, je nini cha kufanya hapa ili kuondoa tatizo km hili.
kwenu wana JF mchango wenu wa mawazo unahitajika.

mwambie awe anapka mate ni kitu bora sana katika kulainisha maeneo ya kazi
 
hata nafasi za kazi na tenda napo katukana huyo.

Haha..nimefurahishwa na avatar yako kijana (no homo) nimeiangalia na kusoma apo nikawish na mimi mida hii ningekuwa narudi home nakutana na katoto kangu afu moyoni najua kananiliuzia ivo.
 
hivi ni lini utajitambua ndugu yangu? Nimetoka hapo jamvi la biashara na uchumi nimekuta mapovu yako kwenye thread ya Mwana JF mwenzio, hivi kama huna la kushauri si ukae kimya bwana? Ah, wengine are so disgusting!

Kila mbwa anaitwa kwa mruzi wake, ama kweli ukimzungumzia mtu gizani ataitikia kwa kuguna.

Ungekaa kimya watu wasingejua nakuzungumzia wewe. Lakini siku zote si umekuwa ukitafuta kubwa?
 
Kwa kweli waachane kabla huyo mwanamke hajapata fistula. Aje tu hapa JF atafuta nungayembe moja manake yapo mengi tu MMU yana mabwawa ya kutosha kuaccomodate hilo dude lote bila shida
Hahahaha JF haichoshi kwakweli full burudani
 
Mwambie rafikiyo amuulize mkewe kama alikuwa anapata maumivu na wapenzi wake kabla ya rafikiyo (exs)....kama ndiyo, kuna uwezekano pia akawa na tatizo linaitwa 'Retroverted Uterus'....kwa kawaida kizazi (uterus) huwa kinainamia mbele (anteverted), kama kikiinamia nyuma (retroverted) basi mwanamke anapata maumivu sana wakati wa tendo la ndoa, hata akiwa ameandaliwa vipi!

Anaweza akaconfirm kwa kufanya 'ultrasound'.
 
Hapo kwenye kumuuliza exs wake ndio anaweza asipate majibu sahihi
me naona angejaribu utrasound kwanza.

Napia kwa swala la kumuandaa angeliangalia upya!
Mwambie rafikiyo amuulize mkewe kama alikuwa anapata maumivu na wapenzi wake kabla ya rafikiyo (exs)....kama ndiyo, kuna uwezekano pia akawa na tatizo linaitwa 'Retroverted Uterus'....kwa kawaida kizazi (uterus) huwa kinainamia mbele (anteverted), kama kikiinamia nyuma (retroverted) basi mwanamke anapata maumivu sana wakati wa tendo la ndoa, hata akiwa ameandaliwa vipi!

Anaweza akaconfirm kwa kufanya 'ultrasound'.
 
Waende wote kwa doctor yy na mwenzi wake wakaangaliwe..pengine n uume mkubwa kupita kiasi na km n hivyo ashauriwe atiwe pete kunusuru kumharibu uzazi mwenzi wake..
 
Back
Top Bottom