Mkuu hawa madada ni sumu kwa mapenzi ya pesa tena hata ukiwa na utajiri vipi na kama haukuwa mwangalifu basi ni sawa sawa kinu kutwanga maji na kuwa muflisi hapo tena ndio utapewa tusi la kuwagana la mwanaume gani wewe ni kumbe mwanaume suruwali tuu na hapo tena ni majuto ni mjukuu