Tofauti Yetu na Wao !!

Tofauti Yetu na Wao !!

Warembo wapo sema warembo wetu wengi kichwani hamna kitu...


Ila nadhani Mzigua90 kazi hyo inamfaa sana
 
Mifumo ya kubebana,rushwa, huyu mtoto wa shangazi,shemeji yangu,Mama wa Rafiki yangu.

Tanzania maisha kama maigizo ya filamu,hekali mia zakwangu zilizobaki hamsini nitam'gawia Mtoto wa dada yangu.
hahahha...aliyeimba haya mashairi now days ni muimbaji wa ngonjera za harusi ..kama issa matona
 
Simple minds.....
mamaee hao Watoto waethiopia ...waweza shinda unawapigia chaputa kutwa nzima ..."" ila huyo hostess wa tz..nimzee aisee kama Bi chau "... !
 
hahahha...aliyeimba haya mashairi now days ni muimbaji wa ngonjera za harusi ..kama issa matona
Hahaha huo ni uhalisia na si mashairi tu bwana.

Athari ya dhiki ni chungu mithili ya jehanamu,dhiki hataki imuangamize.
 
Shida kubwa na sugu ya air hostess wa kibongo ni mkorogo,wengi wana rangi 2,manyama uzembe na wengi hawana natural hospitality.
Utakuta mtu uso mweupe,mikono/miguu mieusi tiii!!!
 
Yaani tabasamu nzito ukiongeza na Sura ulivyokuwa nzito lazima upate Zito Jr.
 
Back
Top Bottom