Tofauti Yetu na Wao !!

CaptainRobinMorgan

Senior Member
Apr 6, 2018
103
260
Nimekutana na hizi picha ikabidi nicheke kwanza.... Tulikosea wapi lakini sisi Watanganyika ;);):):):):):)

37007498_1627201174063100_5232173411035250688_n.jpg
14939268117c73923cbb5ff7c4a9d4878054708124.jpg
36850619_1627201247396426_117346705619288064_n.jpg
IMG_20180509_085423.jpg
 
mshikaji ana roho ngumu....

hawa wa mama ilikuwa walipwe mafao waondoke, sema tu hela ni shidaa;
 
Mifumo ya kubebana,rushwa, huyu mtoto wa shangazi,shemeji yangu,Mama wa Rafiki yangu.

Tanzania maisha kama maigizo ya filamu,hekali mia zakwangu zilizobaki hamsini nitam'gawia Mtoto wa dada yangu.
 
Ila hivi vi-Air hostess vinakuwaga vijuriii jomoniii kuna muda vinafanya usafiri wa anga usiwe hatari kwa maisha ya binadamu...Air Tanzania wafanye mapinduzi kwakweli mtu unaweza lala anga lote na kujawa hofu safari nzima,..
 
Mwanzo mlikuja na hoja mnalalamika eti panga boi,imekuja dreamliner with jet engines mmehamisha magoli nakuja na hoja ya kufananisha na ma Air hostess!!
 
Back
Top Bottom