CaptainRobinMorgan
Senior Member
- Apr 6, 2018
- 106
- 265
Nimekutana na hizi picha ikabidi nicheke kwanza.... Tulikosea wapi lakini sisi Watanganyika 😉😉🙂🙂🙂🙂🙂
hahhahahahah dah! aiseeMifumo ya kubebana,rushwa, huyu mtoto wa shangazi,shemeji yangu,Mama wa Rafiki yangu.
Tanzania maisha kama maigizo ya filamu,hekali mia zakwangu zilizobaki hamsini nitam'gawia Mtoto wa dada yangu.
VIJURIIIIla hivi vi-Air hostess vinakuwaga vijuriii jomoniii kuna muda vinafanya usafiri wa anga usiwe hatari kwa maisha ya binadamu...Air Tanzania wafanye mapinduzi kwakweli mtu unaweza lala anga lote na kujawa hofu safari nzima,..
Yay shem babe vijuri juriiVIJURIII

hahaha ujuri wao unaweza ukaombea mkopo benki ati?Yay shem babe vijuri jurii![]()
Tena ukapata bila ribahahaha ujuri wao unaweza ukaombea mkopo benki ati?


😛😛😛😀😀😀nna shida ya mkopo ngoja nkajiopolee mmoja wa kule ethiopia niende nae benkiTena ukapata bila riba![]()
Simple minds.....Nimekutana na hizi picha ikabidi nicheke kwanza.... Tulikosea wapi lakini sisi Watanganyika 😉😉🙂🙂🙂🙂🙂
![]()
![]()
![]()
![]()
Ooh yeah,..naomba niwe mpenzi msindikizaji shem,.😛😛😛😀😀😀nna shida ya mkopo ngoja nkajiopolee mmoja wa kule ethiopia niende nae benki
