Tofauti ya wanaume na wavulana.......kitabia...

We unadhani ni kwa nini wavulana wanalalamika kuwa wanasichana wanachungulia mifuko yao? wanagaharamikaaa, wakitegemea kulipwa baadae, kumbe na wasichana walishawajua wavulanaaa, wakishakula wanahamia kwa wanume wa ukweli, LOL
wengi wa wasichana wa siku hizi wapo kwaajili ya pesa tu hakuna penzi hapo.
 
Well said Boss.... tofauti ni kubwa sana, na umri means nothing when it comes to a man or a boy!!!

context matters

asant mkuu..
ajabu wadada wengi hawajui umri sio kigezo kabisa lol
 
Well said Boss.... tofauti ni kubwa sana, na umri means nothing when it comes to a man or a boy!!!

context matters
Naunga mkono hoja, kuna kazee hapa kitaa kako kama 55 kakiona mwanamke mrembo kakatiza tu basi kanaaga kijiwe na kanasema laivu "naenda kumlia nyeto, kulaleki" , haka ni kavulana tu labda katakuwa kanaume kakiingia kaburini.
 
lol................
 
kumbe kuna wanaume na wavulana eeeh ngoja nitafute wanaume sasa

Bebii,hivi TF ni mvulana au mwanume?
By the way kesho naruka na uzi wa...'tofauti ya msichana na mwanamke....
Kwa kuanzia:
msichana Bishanga nikimpiga kamilioni breki ya kwanza SH Amon kununua vipodozi,mwanamke atawekeza kwenye kakiwanja hata kama ni Chanika Mvita...
....itaendelea
 
exactly lol.....
 
umesau na shopping shoprite au imalaseko itaendelea
 
halafu The Boss,mwambie Bebii leo ama zake ama zangu popote pale nitakapomkuta.
 
Back
Top Bottom