MEP ni kampuni binafsi, TIE vinatolewa na serikali
Vitabu binafsi huwa vina maelezo mengi, lakini TIE vinafuata syllabus kama ilivyo, ni kama vinatoa muongozo fulani
Hakuna vitabu sahihi mkuu, kila kitabu kina ubora na mapungufu yake
Kwani lazima ununue vitabu?
Mbona wengine tumepiga english medium bila vitabu? unatishiwa tishiwa tu ila sio kesi