Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

Mimi mchumba wangu nimenizidi miaka miwili,tena he feels so lucky to have me and i am luck to have him.Mwanzo alinidanganya tunalingana kumbe alidhani nitamkataa nikijua nimemzidi
Tupo kwenye michakato ya ndo
Yeye anasoma masters mimi bachelor
 
Mimi mchumba wangu nimenizidi miaka miwili,tena he feels so lucky to have me and i am luck to have him.Mwanzo alinidanganya tunalingana kumbe alidhani nitamkataa nikijua nimemzidi
Tupo kwenye michakato ya ndo
Yeye anasoma masters mimi bachelor

big up,komaa nae!
 
Wala usimuache kwa tatizo hilo, the issue is if u love her and she loves u go ahead, dunia imeharibika mtu wangu, wanawake ni wengi mno ila wamuke ni wachache chini ya 0.0000010%.
 
sio tatizo hata, kunamdada wa miaka 40 alikuja kumpenda kijana wa miaka 21 na walikuwa happy tu ila japo kausumbufu kidogo kutoka kwa maneno ya watu viliwasumbua kidogo hapo awali ila sasa wenyewe wako poa tu maana wamependana.
 
jamani wana janvi nina wapenzi wangu wawili ambao wote wana wana matatizo tofauti; wa kwanza:huyu anaitwa Agness,binti huyu mlembo nilikutana naye kipindi nasoma a ievel,kwakweli alinipenda sana,nakumbuka kipindi hicho shule yetu ilikua na migomo mingi sana..tunafukuzwa mara kwa mara, tena ilikuwa ni vigumu sana mimi kurudirudi nyumbani kwani kutoka nyumbani hadi shule ni gharama kubwa, na huko shule sina ndugu,huyo binti alikua anaishi kwa mama mdogo wake, akamuelezea shida zangu adi mama akaelewa nikawa naishi pale pindi nikifukuzwa shule,kadri tulivoendelea kuishi binti alinijari sana, hadi nikahisi anafaa kuwa my wife siku za usoni, kabla sija hitimu,kabla ya kuhitimu binti huyu akarudi kwa wazazi wake huko bunda kijijini, kwakweli niliumia sana kuondoka kwake..tuliwasiliana siku za mwanzo tena kwa shida,baada ya hapo sikumpata tena..nililipo rudi nyumbani nikakutana na binti mwingine anaitwa MUHAIMINA:binti huyu wa pili anafanya biashara ambayo anadai alianzishiwa na baba yake,tukapendana akawa ananisapoti kwenye maisha had akanigharamia baadhi ya fedha za kusoma elimu ya juu,tatizo likaibuka pale baba yake alipojua, kwani alianza kuniwinda mbaya zaidi inasemekana anamiliki bunduki! alidai mimi ni mkristu yaani Roman katoriki pia alimwambia binti yake ahachane na mambo ya kuolewa bali afanye biashara zake.. lakini binti anadai ananipenda sana na nikiwa tiyari nimuoe,hadi naandika post hii bado anasubiri siku ya kuolewa nami. yule wa kwanza kipindi naanza kumsaau siku moja akanipigia simu akaelleza jinsi alivopoteza mawasiliano..akanipa mama yake nikaongea naye akasema kaambiwa habari zangu, kwakweli nikachanganyikiwa kabisa! huyu binti ana elimu ya form 4,yuko nyumbani hana kazi.tatizo ni kwamba ana umri mkubwa, kwani ana miaka 28 mimi nina 23.naombeni ushauri wenu katika hili,nifanyeje.......nawasilisha..
 
wakati mlipokuwa shule,mlifichana umri wenu?.nakushauri uendelee kusoma na kutafuta maisha yako.umri mdogo huo.
 
halafu penye l wewe unaweka r,mkurya?acha mapenzi,kazana na shule itakutoa si hayo mashangingi yako
 
Mbona unataka kujitia TB na majimama kama hayo? mda unao soma utapata size yako na usipende kufadhiliwa sana na wanawake utakua mtumwa wa ngono kwakupenda misaada.
 
inaelekea mtu akikufanyia favour wewe kwako unatafsiri ni upendo,achana nao wote waambie wewe bado unasoma huna mpango wa kuoa hivi karibuni....kama hawatajitoa wenyewe basi ujue wana yao hao!

lakini walidai wananipenda sana hata mimi nikaamini
 
Mke mwema mtu hupewa na Mungu!
Soma kijana acha kuumiza kichwa bure!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom