Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,535
Kumtambulisha mke:-
USA - this is my lovely wife.
UK - this is my lovely queen.
TANZANIA- huyu ndiye mama watoto.
Mke kumuaga mume wake wakati anaenda
kazini:-
USA -have fun at work honey
UK - see you later sweery.
TANZANIA- Chelewa leo tena utaona.
Mume kumsifia mke wake kapendeza na gauni
jipya:-
USA - you look smart in that new dress.
UK - i miss to walk with you in that dress my dear.
TANZANIA- inaonekana manager ameanza
kukutongoza ukitoka na hiyo nguo usirudi hapa.
Mtoto akifeli mtihani shuleni baba anasema:-
UK- you can still do better darling,
USA- Yes you can, I know you can,
TANZANIA- kumbe niliuza ngo'mbe ndio nipeleke
ng'ombe nyingine shule.