Tofauti ya Sunni na Sh’ia ni ipi hasa?

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,964
28,452
Waislamu ninyi hua mnanielewesha vizuri kabisa maswali yangu.

Naomba mnipe tofauti kati ya sunni na sh’ia na mnielezee nini kimesababisha tofauti hizo ziwepo na je hua kuna migongano baina ya hayo makundi mawili?

Tafadhali naomba nielimishwe juu ya hayo masuala adhimu ili nipate kujifunza vyema na nipate uelewa.
 
Kwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.

then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
 
Hajauliza Namna ya kuwa muislam
 
TOFAUTI IPO:

Kwa kifupi ulisikia SUNNI maana yake wale WAISLAM wanaojinasibisha na kuihuisha Sunnah yaani MAFUNDISHO YA DINI KAMA ALIVYOYAISHI MTUME WA ALLAH REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE....

SHIA ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa then baadaye kundi hili likawa na misingi yake ya THEOLOGIA na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT kwa sababu mafundisho yao mengi yapo kinyume na mafundisho ya Mtume wa Allah Rehema na amani ziwe juu yake.
 
SHIA ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa then baadaye kundi hili likawa na misingi yake ya THEOLOGIA na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT kwa sababu mafundisho yao mengi yapo kinyume na mafundisho ya Mtume wa Allah Rehema na amani ziwe juu yake
 
Hapo umetetea sunni na kuponda shia sisi tunataka kujua tofauti zao na sio ubora wao.
 
Shida ilianzia kwenye kifo cha bwana mtume Muhammad (s.a.w) sunni wanakubaliana na wale viongozi waliofatia baada ya kifo cha mtume, kuanzia Abubakar, umar, uthman, kisha ali.. Sasa shia wao wanaona kulifanyanyika uhuni ali alinyimwa uongozi, hivyo wao ni wafuasi wa ali.. Hao wengine wanaona ni wazinguaji(tutumie lugha hii mbovu)
 
Sijatetea b as li nimekueleza kwa kifupi kwa kila upande.....
SHIA wanaamini sehemu kubwa ya Sahaba waliritadi baada ya Mtume Rehema na amani ziwe juu yake

Wanaamini baadhi ya Khulafai Rashdun waliretadi....

BALI wanaamini the HOLY Qur'an [the book read by millions of muslims in the world] is incomplete....

Wanaamini mke wa Mtume wa Allah Rehema na amani ziwe juu yake alimkhini Mtume [Allah atukinge na DHULMA hii]

Kwa upande wa SUNNI ni kinyume chake....
 
Utofauti mkuu ni katika hadithi na falsafa wanazoziamini, tofauti nyingi zitalenga humo.

1. Baada ya kifo cha Muhammad, kulitokea ugomvi juu ya nani ambaye anapaswa kushika madaraka, upande mmoja ulitaka ndugu yake (binamu yake) auongoze umma wa waislamu, upande wa pili ulitaka Abubakar ambaye alikuwa swahiba wake mtume achukue madaraka.

Hata hivyo upande wa abubakar ukashinda (hawa ndio wakawa sunni), upande wa waliotaka binamu yake mtume achukue madaraka ndio ukawa shia .

2. Hizi tofauti zilikuja kuleta tofauti za kitheolojia au kifalasafa ikapelekea kutofautiana kwa baadhi ya mapokeo.ya hadithi ambayo yameleta utofauti unaonekana leo, kwa mfano shia wanaamini uhalala wa ndoa za mkataba wa muda mfupi (muta) lakini sunni hawaamini hilo.
 
Kwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.

then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
Jibu swali, Usikimbie hoja

Maelezo mengi yasiyo na msingi

Jibu swali na hoja iliyopo mezani

Unaulizwa una meno? Wewe unajibu kila mnyama ana meno na tena meno yanakaa kwenye kichwa na meno ynatumika kutafuna

Jibu hoja ya mleta uzi?
 
Waislamu ninyi hua mnanielewesha vizuri kabisa maswali yangu.

Naomba mnipe tofauti kati ya sunni na sh’ia na mnielezee nini kimesababisha tofauti hizo ziwepo na je hua kuna migongano baina ya hayo makundi mawili?

Tafadhali naomba nielimishwe juu ya hayo masuala adhimu ili nipate kujifunza vyema na nipate uelewa.
Sioni tofauti kwani wote ni wababaishaji walioingizwa mkenge kwa hadithi za kiarabu
 
TOFAUTI IPO:

Kwa kifupi ulisikia SUNNI maana yake wale WAISLAM wanaojinasibisha na kuihuisha Sunnah yaani MAFUNDISHO YA DINI KAMA ALIVYOYAISHI MTUME WA ALLAH REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE....

SHIA ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa then baadaye kundi hili likawa na misingi yake ya THEOLOGIA na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT kwa sababu mafundisho yao mengi yapo kinyume na mafundisho ya Mtume wa Allah Rehema na amani ziwe juu yake
Shia walianzia wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom