kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,101
- 5,442
I mean una 3,000 hata siyo 30,000 hahaah hata bureau sijui kma wanaweza kukubari
I mean una 3,000 hata siyo 30,000 hahaah hata bureau sijui kma wanaweza kukubari
Hata siwezi poteza mda kabisa, ipo makumbusho tu.I mean una 3,000 hata siyo 30,000 hahaah hata bureau sijui kma wanaweza kukubari
Baisa 500 ni sawa na nusu Rial ukitaka kuichenji hiyo nenda Kitumbini kuna Bureau De Change ambayo iko ktk frem za Msikiti wa Ibaadhi pale watakuchenjia kuna waOmani wengi pale
Ni kama shillingi na senti.naomba kuuliza hivi ela za Oman aina ya baisa INA maana hazitumiki huko omani na kwanini Tanzania wanakataa kubadili Baisa, Ila wanakubali Riyal INA maana baisa hazitumiki tena au hazitumiki tz pekee maan Nina baisa naitaji kubadili
Sent using Jamii Forums mobile app
I mean una 3,000 hata siyo 30,000 hahaah hata bureau sijui kma wanaweza kukubari
Asante kwa kunifunza nashukuru sanakukubari= kukubali
Wamekosea!!!Asante kwa kunifunza nashukuru sana
Angalia hiyo screenshot kisha nifafanulie kama hao nao wamekosea
View attachment 993808
Wame chemkaAsante kwa kunifunza nashukuru sana
Angalia hiyo screenshot kisha nifafanulie kama hao nao wamekosea
View attachment 993808