Tofauti ya miaka 18 inafaa kuoana?

Tofauti ya miaka 18 inafaa kuoana?

Uyu jamaa kam nakusom iv ila sina uhakika san.ila kam ni ww ndio yule lecture wa MuCobs pale moshi mwalimu tena na unamichepuko lukuki na bhad unatok na university student wa age iyo uliyosem apo? Deem em kaa mbali maan uyo bidada hakupend maan alifum mitext yk na michepuko Yako!

Ila usimwaribulie future uyo student maan kuna watu wanaangalia ukiarib unaeza potezwa kweny ramin ya Tz..ni hayo tyu
Mjomba una bifu na mhadhiri wako nini?
 
Kwa muktadha huu mvulana wa miaka 24 haruhusiwi kuoa msichana wa miaka 18; kwa maneno mengine msichana wa miaka 18 lazima aolewe na mvulana wa miaka 23 au chini ya hiyo

Hesabu vipi mkuu? Umeambiwa si chini ya (atleast), kwa sheria ya Kaboom, kama una miaka 24 utaoa mwenye (24/2 + 7), ina maana ni 19 nakuendelea.

Kama una 23 utaoa 23/2+7 ambayo ni 18.5 na kuendelea, bila kusahau kwamba kama hesabu inaangukia chini ya 18 hakuna ndoa.
 
Hiyo combination nzuri sana, yaani hapo ndio mnaendana katika utamaduni wa ndoa. Mwanaume unapokua mkubwa kumzidi mwanamke ni vizuri maana heshima,hekima,busara vitatawala ndoa. Ndoa zetu siku hizi zinakuwa timbwilitimbwili kutokana na kuwa za umri mmoja akili zinafanana.
kweri yaaan kwa umri wako hutapata tabu na huyo kigori mengi ushapitia tabia zao nyingi ushazisoma kila la heri mkuu chukua jiko faster
 
Habari,

Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
Inafaa lakini ufahamu hili, ukifika 60 mke yeye 42 umri wako, huoni kwamba utashindwa kumtimizia? Nimeona mitihani hio wadada kuanza kuhangaika nje kutafuta vijana. 60 age inategemea utakavyo ji keep, wengine huzeeka haraka, kama udongo wako mzuri sawa.

Chukua huyo bint ila gym iwe moja ya maisha yako ili uweze kumtimizia haki yake.
 
Wazazi wangu wamepishana miaka saba.

Nikamwambia mama mimi nataka tupishane kumi kabisa ili niwe kijana kwake siku zote. Ananiambia usithubutu. Akizeeka utachukia sana.

Haha, mama bado energy, anapenda kwenda out na kucheza mziki. Ndo zilikuwa zao zamani. Baba kachoooka, hataki makelele ya mziki.

Usije kumtesa mtoto wa watu baadae
 
Sioni kama ni tatizo ila unatakiwa kuwa rafiki umfanye awe huru na wewe si kumtreat kama mtoto heshimu mawazo yake mfanye awe huru na wewe sio mwendo wa amri tuu kwenda mbele kuwe na mawasiliano mazuri ,mshirikishe mambo yako yaliyopo na tarajiwa , ,Lakini pia jitahidi mazoezi ukiwa mtu wa mazoezi huzeeki mapema .
 
Mmmmm kwa kweli umri ni wa kuzingatiwa,imagine amelala chini wewe juu halafu mashavu we yamekushuka aka babu eee!!!

Halafu muda utafika lazima ataanza kutafuta "size" hahaaaaa utajuta!!!!! ni lazima atazitafuta tu
 
Naona babu watafuta pakufia wewe.
Tafuta zee mwenzio aliyemaliza ujana kama wewe.huyo mtoto atakupa presha bure.
 
Hesabu vipi mkuu? Umeambiwa si chini ya (atleast), kwa sheria ya Kaboom, kama una miaka 24 utaoa mwenye (24/2 + 7), ina maana ni 19 nakuendelea.

Kama una 23 utaoa 23/2+7 ambayo ni 18.5 na kuendelea, bila kusahau kwamba kama hesabu inaangukia chini ya 18 hakuna ndoa.
Utakuwa una matatizo ya kuelewa; sasa kama mwenye miaka 24 anatakiwa kuoa wa miaka 19 onward je ataoa wa miaka 18? mimi nimeuliza kama mvulana wa miaka 24 haruhusiwi kuoa msichana wa miaka 18 unanipa jibu anatakiwa kuoa kuanzia miaka 19 na kuendelea je utakuwa umeelewa swali? au huna jibu?
 
Mkuu labda sijakuelewa mkuu.

Asante.
 
Habari,

Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?

Kama unaona kabisa mnaendana na kusikilizana, age is just a number MUOE fasta. Nina amini kabisa mpaka unafika miaka 40 umeshakutana na wa umri mkubwa, na pengine wengine unao kwenye listi yako, ila huyo wa miaka 22 umeona anafiti zaidi kwenye profile yako. MUOE..... Kuna watu wana miaka 35 ila mambo yao kama mtu wa miaka 22 and the vice versa is also true.
 
Muoe kama mmekubaliana ila wew co kijana maana umevuka miaka 35.wew ni makam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom