Huyo 22 bado atakuwa na mambo ya kitoto hivyo atakusumbua sana believe me. Tafuta 28+Habari,
Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
Oa tu mkuu kama mnapendana kweli, tofauti hata ikiwa ni ya mwaka mmoja kama hakuna mapenzi ya dhati baadae itakuwa kero tuHabari,
Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
Ndio utofauti wa miaka 18 jmn.... Au ndo age is just a numbers?Huezi jua labda katalikiana na wake zake wengine au mkewe katangulia mbele ya haki so anafanya replacement ya kitumbua
Kwani ww mfanyakazi wa Rubuva? Mpaka uanze kuulizia umri wa mwenza?Habari,
Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
DAA! ukiwa na50 yeye atakuwa na miaka 38.ina madhara baadae utashindwa ku-match naye.ingawa mwanzoni utaona ni kawaida tu.Habari,
Mimi ni kijana nina miaka 40.Nimepata mchumba anamiaka 22.Je nikimuoa tofaut ya umri inaefect baadae kwenye mahusiano?
Nani kakwambia chuo kuna watoto skuizi?Mkiambiwa muoe mapema hamtaki... sasa mnaanza kufukuzia watoto wa chuo
hahahahaaMkiambiwa muoe mapema hamtaki... sasa mnaanza kufukuzia watoto wa chuo
Unamaanisha kijana le mutuz akipata ka binti ka 20's atabehave?Hiyo combination nzuri sana, yaani hapo ndio mnaendana katika utamaduni wa ndoa. Mwanaume unapokua mkubwa kumzidi mwanamke ni vizuri maana heshima,hekima,busara vitatawala ndoa. Ndoa zetu siku hizi zinakuwa timbwilitimbwili kutokana na kuwa za umri mmoja akili zinafanana.
mtani nilishahahu kabisa ..Mtani umesahau kuwa uzee mwisho chalinze....
Hehehe ina maana bado anatafuta na yeye?Unamaanisha kijana le mutuz akipata ka binti ka 20's atabehave?
Anatafuta ndioHehehe ina maana bado anatafuta na yeye?