Habari za muda huu wanajamii,
Ninaomba ushauri katika jambo hili.
Nahitaji kufanya maombi ya chuo ngazi ya diploma, ila nina changamoto ya majina katika vyeti vyangu.
1. Cheti cha elimu ya sekondari kinasoma jina George G Rwezaula.
2. Cheti cha certificate kinasoma majina mawili George Gaspar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.