Huwa tunasanibisha ama kuchanganya hivi vitu viwili PEPO ni jina ama ni kiambishi cha kiwakilishi cha hali fulani ikiwa na maana ya kitu chema sana mfano Kuishi katika pepo ya mahusiano Kuishi katika pepo ya ukwasi Kuishi katika pepo ya umaarufu,heshima ,kuabudiwa nk PEPONI ni mahali dhana pa...