ilovebrenda
Senior Member
- Jun 23, 2019
- 105
- 74
Tofauti ya kwanza japokuwa hautoipenda
HAKIMU jina lake linaanza na "H" na wakili linaanza na "W"
Tofauti ya kwanza japokuwa hautoipenda
HAKIMU jina lake linaanza na "H" na wakili linaanza na "W"
Mahakimu ni wale wanaotoa haki na kutasfiri sheria kwenye Mahakama za mwanzo,Mahakama za wilaya na Mahakama za mikoa(mahakama ya hakimu mkazi) Majaji ni kwenye ngazi za Mahakama Kuu na Mahakama ya rufani
Justice inatumika wapi?Mahakimu ni wale wanaotoa haki na kutasfiri sheria kwenye Mahakama za mwanzo,Mahakama za wilaya na Mahakama za mikoa(mahakama ya hakimu mkazi) Majaji ni kwenye ngazi za Mahakama Kuu na Mahakama ya rufani
Jaji ni mtu anae hukumu na wakili ni mtu mwenyewe akili
Geniuuuuuusssss....Tofauti ya kwanza japokuwa hautoipenda
HAKIMU jina lake linaanza na "H" na wakili linaanza na "W"
Lakini 'jaji' ni neno la kiingereza JUDGE maana yake ni HUKUMU kwa hiyo mtenda ni hakimu, naomba unisahihishe mkuu.Mahakimu ni wale wanaotoa haki na kutasfiri sheria kwenye Mahakama za mwanzo,Mahakama za wilaya na Mahakama za mikoa(mahakama ya hakimu mkazi) Majaji ni kwenye ngazi za Mahakama Kuu na Mahakama ya rufani
Kama wewe ni mprotestanti
Hakimu ni kama mchungaji au padre
Jaji ni askofu wa jimbo fulani
Chief justice ni askofu mkuu....
Kawe ni waislamu
Hakimu ndio shehe
Wakili ndio shehe ponda
Jaji ni shehe wa mkoa
Chief justice ni mufti
Sio kweli.Tofauti yao ni mazingira ya kazi jaji ni hakimu lakini si Kila hakimu ni jaji
Nenda mahakama kuu utamkuta jaji ila kwingine ni utamkuta hakimu
Umeulizwa JAJI Vs HAKIMU ww unajib HAKIMU vs WAKILI, af na ww utakuta una demu etTofauti ya kwanza japokuwa hautoipenda
HAKIMU jina lake linaanza na "H" na wakili linaanza na "W"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kweli.
Jaji kazi yake ni kujadili mambo ya serikali
Hakimu kazi yake ni kuhukumu wahujumu uchumi na watakatisha fedha.
Tofauti yao ni mazingira ya kazi jaji ni hakimu lakini si Kila hakimu ni jaji
Nenda mahakama kuu utamkuta jaji ila kwingine ni utamkuta hakimu
AiseeSio kweli.
Jaji kazi yake ni kujadili mambo ya serikali
Hakimu kazi yake ni kuhukumu wahujumu uchumi na watakatisha fedha.