Tofauti ya familia hizi mbili

sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
767
678
Baada ya JK kuingia Ikulu mara moja tulimjua Riz 1 ni nani na kabla jogoo halijawika tukamjua na mama Salima Kikwete! pia kuna kile kidogo nimekisahau jina kilimtukana hata mzee Lowasa.

Imekuwa tofauti kabisa kwa Magufuli! mama Janeth anaonekana kwa bahati nasibu hakuna WAMA wala UWT. Jesca magufuli nimemjua jana baada ya sakata la vilaza, nadhani hawa watoto wa Magufuli mzee ataondoka Ikulu bila wao kujulikana aisee!

Kweli kila familia na malezi yake..
 
Wewe bana taja tofauti zote, mbona ya kupenda kupanda ndege hujaitaja, au ya kwenda ulaya na marekani kuomba misaada
 
Back
Top Bottom