Tofauti ya enzi za Wahenga na enzi zetu...

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,228
17,808
20994365_1440106589404278_23266227507279811_n.jpg
 
Zamani walikula raha sana.

Ustaarabu ulikuwepo.

Watoto Urembo wao wa Kiasili.

Njemba zilikuwa hazina Vitambi.

Mazingira yalikuwa mazuri.

Hawakuwa na Maradhi ya ajabu ajabu.

Jamani
 
Back
Top Bottom