Mimi nilikua tayari kubadili Dini...ila nimepitia transformation kubwa Sana...na Nimerudi Sana kwa Mumba want I...na nataka nifuatishe maamrisho ya Mumba wangu kindaki ndaki..na Hilo Ni katazoKwangu mie nikipendana na wa dini tofauti na yangu nabadili tu kwa ajili yake kama akitaka
Huwa naamini Mungu ni mmoja
Kusema ukweli kunasababu nyingine..but kwa Sasa Dini Ndo inanipa shida. Ila Kama Mpnz nlikua nimepata..amenionesha kweli mapenzi ya dhati yapoDini zikiwa tofauti, huchangia kuvunjika kwa penzi pindi utapopitia kwenye changamoto ya kimapenzi, katika sabu zoote zitazochangia msielewane, dini huongezea sababu ya ziada
Kama Unafuata Mafundisho Kindaki Ndaki Nataka Kujua Jamaa Unazini Nae Au ...!Kusema ukweli kunasababu nyingine..but kwa Sasa Dini Ndo inanipa shida. Ila Kama Mpnz nlikua nimepata..amenionesha kweli mapenzi ya dhati yapo
Fanya kila kitu ila usije ukabadilisha dini kwa sababu ya mapenzi, kamwe.Kusema ukweli kunasababu nyingine..but kwa Sasa Dini Ndo inanipa shida. Ila Kama Mpnz nlikua nimepata..amenionesha kweli mapenzi ya dhati yapo
Mimi nilikua tayari kubadili Dini...ila nimepitia transformation kubwa Sana...na Nimerudi Sana kwa Mumba want I...na nataka nifuatishe maamrisho ya Mumba wangu kindaki ndaki..na Hilo Ni katazo
Nimeuliza....sijabishanaDada mambo yadini huwa sipendi bishana... Ntabaki TU na ninachokiamini
Imeandikwa mke atamfuata mume. Pia mume ndio kichwa cha familia, au unataka mwenzio awe mkia akufuate?Alisema mwanamke Hana Dini Nani?.. Hilo limetoka kwako
sasa kama unaona imeshindikana kubadili ongea na jamaa akafunge ndoa kanisani alafu unipe mrejesho tenaAlisema mwanamke Hana Dini Nani?.. Hilo limetoka kwako