si unamwuuliza tu kwa sura ya bashasha "mrembo hili ndo lenyewe au la?"Wakuu wasalaam
Kumekuwa na jitihada kubwa zinazofanywa na akinadada kujipendezesha miili yao. Wengine huenda mbali zaidi kwa kuboresha muonekano wa makalio kiasi cha kupindisha shingo za akinababa hasa wale wakware.
Swali langu ni: Je kuna tofauti yoyote kimuonekano na kiufanisi kati ya kalio la kutengeneza 'kubumba' ukilinganisha na lile halisi? na je unajuaje kama huyu mdada nilienae leo ana kalio halisi au la?
Karibuni
si ajabu unaonekana una uzoefu nayo mkuuya kubumba ni laini sana sijui wakizeeka watakuaje
mkuu uko siriaz kweli?
hahaha usijali mkuumkuu unatisha.