Tofauti kubwa ya Julius Mtatiro na CUF

Tofauti kubwa ya Julius Mtatiro na CUF

Katika muendelezo wangu wa uchambuzi wa Siasa nimekua nikimfatilia sana ndugu Julius Mtatiro naibu katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF kwa upande wa Tanzania bara,lengo la ufatiliaji wangu ilikua ni kuendelea kubaini wanasiasa wa kweli na mawakala wa CCM (Shibuda's).

Aidha ufatiliwaji huu ulikua umesimamia mambo ya msingi manne,msimamo wake,ukweli wake,mahusiano na vyama vingine vya upinzani,malengo yake.

NILICHOKIGUNDUA
1.Mtatiro ni mwanasiasa wa kweli na anamalengo ya kweli
2.Kunawakati anakasirishwa na CUF kwa kujenga uadui usio wa maana kwa CHADEMA
3.anafanya siasa na sio mambo ya udini kama CUF
4.anakubaliana na hoja za CHADEMA kila wakati
5.ndani ya CUF,ndugu zetu CCM wanachanganyikiwa na Mtatiro tu.

yafuatayo yanaweza kuja humu jamvini kujibu hii hoja yako
1. Anaweza kuja mtu akakuambia Mtatiro ni kibaraka wa CDM
2. Mwingine anaweza kuja akasema mtatiro ni mkristo hivyo ana mrengo wa wakristo wenzake cdm!!!
3. Wengine watakuja watakuambieni kahongwa na cdm
4. Wengine watasema Mtatiro hajui kitu!
5. Wengine watasema wewe mleta hoja ni CDM ndio maana unamsifia mtatiro
6. Wengine watakuambia anatumika kisiasa
7. Wengine watasema hana chochote huyo!
 
Mtatiro is a good guy in politics, he always stands for truth and what benefit the majority. I know him since we were together at UDSM. He is ain't deserved to be where he is now. Ahamie kwenye chama makini chenye nia ya kweli ya kuwakomboa watanzania CHADEMA. That's what I can say in this thread
 
Kweli nakubaliana nawe. Na ningependa kama mwana mageuzi ahamie CDM mapema sn. Ila tatizo ni moja tu nalo ni hili-huku kwetu CHADEMA vyeo vyote vya juu viliisha kombwa na wajanja na wengine maunderground wanavipandiria juu kwa juju, na kama mwanasiasa makini na machachari angependa kuwa na NYOTA/cheo kikubwa kujenga jina lake na heshima nchini kwa ukombozi wa kweli. CDM c Kama CCM eti JK atampatia Ukuu wa Chuo cha UDSM or UDOM, Amteue awe Mkuu wa Maskauti Tz, Au Mkurugenzi wa Mifuko ya Jamii, Ukuu wa Mkoa au Wilaya Laha hasha !! Hapa sasa ndio kuna mtihani Mkubwa Kwa kijana wetu mpendwa Julius Mtatiro kwenda CDM bila cheo!!
 
Kila mmoja ana haki ya kuwa chama akipendacho ndio maana mtu halazimishwi bali huombwa na kushawishiwa, profesa jay aliombwa but ilimchukua miaka kadhaa kurudisha kadi ya ccm na kuingia cdm! Kila mtu anajua afanyacho na ifahamike kuwa ukitaka kujenga uaminifu anzia ndani kwako ndicho afanyacho mtatiro na zito na wengineo! Leo zito akienda ccm wanamkubali, mtatiro vivyo hivyo. Kikubwa ni kuacha majungu, mfano walidai walitaka kumpa sumu zito, yeye akakanusha lakin mwampamba na shonza wakaendelea kuongea hivyo wakimtuhum ben wa sa8, kwa ujasir wa zito wameumbuka!kwa muda ule chuki zikarushwa kumtuhu slaa na mbowe na kuwachafua viongoz wengine ili kumvuta zito kuhama chama wameshindwa tena. Hivyo kijana mtatiro anafaa kwan ana mtaji wa wanachama wa vyama vyote!
 
Katika muendelezo wangu wa
uchambuzi wa Siasa nimekua nikimfatilia sana ndugu Julius Mtatiro naibu
katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF kwa upande wa Tanzania bara,lengo
la ufatiliaji wangu ilikua ni kuendelea kubaini wanasiasa wa kweli na
mawakala wa CCM (Shibuda's).

Aidha ufatiliwaji huu ulikua umesimamia mambo ya msingi manne,msimamo
wake,ukweli wake,mahusiano na vyama vingine vya upinzani,malengo yake.

NILICHOKIGUNDUA
1.Mtatiro ni mwanasiasa wa kweli na anamalengo ya kweli
2.Kunawakati anakasirishwa na CUF kwa kujenga uadui usio wa maana kwa
CHADEMA
3.anafanya siasa na sio mambo ya udini kama CUF
4.anakubaliana na hoja za CHADEMA kila wakati
5.ndani ya CUF,ndugu zetu CCM wanachanganyikiwa na Mtatiro tu.

Hili swala mi nimeligundua pia! Mtatiro yule bwana na kichwa sana na kwa mawazo yangu nafikiri chama anachokitumikia amepotea njia, ajaribu kujitizama upya uwezo wake ni wa kutumikia CHADEMA ndiko kuna watu wanaofanana nae kimawazo! FIKIRI UPYA MTATIRO CUF wanakupotezea mda.
 
Mtatiro is a good guy in politics, he always stands for truth and what benefit the majority. I know him since we were together at UDSM. He is ain't deserved to be where he is now. Ahamie kwenye chama makini chenye nia ya kweli ya kuwakomboa watanzania CHADEMA. That's what I can say in this thread

true indeed mkuu.
 
Kila mmoja ana haki ya kuwa chama akipendacho ndio maana mtu halazimishwi bali huombwa na kushawishiwa, profesa jay aliombwa but ilimchukua miaka kadhaa kurudisha kadi ya ccm na kuingia cdm! Kila mtu anajua afanyacho na ifahamike kuwa ukitaka kujenga uaminifu anzia ndani kwako ndicho afanyacho mtatiro na zito na wengineo! Leo zito akienda ccm wanamkubali, mtatiro vivyo hivyo. Kikubwa ni kuacha majungu, mfano walidai walitaka kumpa sumu zito, yeye akakanusha lakin mwampamba na shonza wakaendelea kuongea hivyo wakimtuhum ben wa sa8, kwa ujasir wa zito wameumbuka!kwa muda ule chuki zikarushwa kumtuhu slaa na mbowe na kuwachafua viongoz wengine ili kumvuta zito kuhama chama wameshindwa tena. Hivyo kijana mtatiro anafaa kwan ana mtaji wa wanachama wa vyama vyote!

ni sawa na Lema....
ccm wamejaribu kumrubuni kwa mda mrefu lakini wameambulia patupu.
 
zamani nilikuwa namchukia labda sikupata fursa ya kumsikiliza lakini badae nimekuja kugundua kuwa MTATIRO amekomaa sana kisiasa kwa sasa kuliko wanasiasa wenye majina makubwa hapa nchini kutoka vyama vya upinzani.he has really matured in politics...
 
Katika muendelezo wangu wa uchambuzi wa Siasa nimekua nikimfatilia sana ndugu Julius Mtatiro naibu katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF kwa upande wa Tanzania bara,lengo la ufatiliaji wangu ilikua ni kuendelea kubaini wanasiasa wa kweli na mawakala wa CCM (Shibuda's).

Aidha ufatiliwaji huu ulikua umesimamia mambo ya msingi manne,msimamo wake,ukweli wake,mahusiano na vyama vingine vya upinzani,malengo yake.

NILICHOKIGUNDUA
1.Mtatiro ni mwanasiasa wa kweli na anamalengo ya kweli
2.Kunawakati anakasirishwa na CUF kwa kujenga uadui usio wa maana kwa CHADEMA
3.anafanya siasa na sio mambo ya udini kama CUF
4.anakubaliana na hoja za CHADEMA kila wakati
5.ndani ya CUF,ndugu zetu CCM wanachanganyikiwa na Mtatiro tu.

ni mwanasiasa makini.ana uwezo mzuri wa kujenga hoja na kujieleza.ni mtulivu pia.
 
Katika muendelezo wangu wa uchambuzi wa Siasa nimekua nikimfatilia sana ndugu Julius Mtatiro naibu katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF kwa upande wa Tanzania bara,lengo la ufatiliaji wangu ilikua ni kuendelea kubaini wanasiasa wa kweli na mawakala wa CCM (Shibuda's).

Aidha ufatiliwaji huu ulikua umesimamia mambo ya msingi manne,msimamo wake,ukweli wake,mahusiano na vyama vingine vya upinzani,malengo yake.

NILICHOKIGUNDUA
1.Mtatiro ni mwanasiasa wa kweli na anamalengo ya kweli
2.Kunawakati anakasirishwa na CUF kwa kujenga uadui usio wa maana kwa CHADEMA
3.anafanya siasa na sio mambo ya udini kama CUF
4.anakubaliana na hoja za CHADEMA kila wakati
5.ndani ya CUF,ndugu zetu CCM wanachanganyikiwa na Mtatiro tu.

huenda jamii forum ndio kunaongoza kuwa na wehu kuliko sehemu nyingine yeyote. Ni rahisi kuishutumu CUF kwa udini na hutokosolewa na vigumu kueleweka kwa kuishutumu chadema kwa udini......ujinga huu
 
Katika muendelezo wangu wa uchambuzi wa Siasa nimekua nikimfatilia sana ndugu Julius Mtatiro naibu katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF kwa upande wa Tanzania bara,lengo la ufatiliaji wangu ilikua ni kuendelea kubaini wanasiasa wa kweli na mawakala wa CCM (Shibuda's).

Aidha ufatiliwaji huu ulikua umesimamia mambo ya msingi manne,msimamo wake,ukweli wake,mahusiano na vyama vingine vya upinzani,malengo yake.

NILICHOKIGUNDUA
1.Mtatiro ni mwanasiasa wa kweli na anamalengo ya kweli
2.Kunawakati anakasirishwa na CUF kwa kujenga uadui usio wa maana kwa CHADEMA
3.anafanya siasa na sio mambo ya udini kama CUF
4.anakubaliana na hoja za CHADEMA kila wakati
5.ndani ya CUF,ndugu zetu CCM wanachanganyikiwa na Mtatiro tu.

acha kukurupuka. mtatiro hajagombea wala hajakatazwa kugombea. hii ni tofauti na ZK ndani ya chadema ambayo ina shutuma za udini pia
 
Tofauti ya mtatiro na wanasiasa wengine ni ile nidhamu ya uongozi. Mtatiro pamoja na kuwa na uwezo na jina kubwa sikuwahi kuona kaandika status mtandaoni wala kumsikia ktk chombo chochote cha habari akiwakejeli viongozi,kuwadharau, kujikweza, kuwaundia makundi ya mapinduzi, wala kujivunia kutokea mara. Wengne wamepata umaarufu kidogo tumesikia na kuona wakijigamba, wakikejeli viongozi wakuu, wakati kuunda makundi ya kudhoofisha viongozi wakuu ili wapate madaraka..........mtatiro hakufanyia siasa mitandaoni wala redion alifanyia kaz ktk majukwaa ya siasa,ktk vikao halali, na ktk ofisi yake!.....pia sio mtu wa kulaumu laumu na pale ambapo ambapo palihitajika msimamo wa kiukombozi alionesha upande wake waziwazi......wengne hutaka urafiki na ccm huku wakinyatia baadhi ya hoja kujijenga binafsi...wamejaa majikwezo na uzalendo wa kinafiki.....wanapinga ukabila huku wakikusanya wasanii kuwapeleka kwao kusherekea ukabila,,wanapinga udini huku wakitumia udini kutaka kutwaa madaraka.........mtatiro na Mnyika mtaendelea kuwa role model wangu kisiasa. Mungu awabariki!
 
Jamaa kabanwa na waPemba kaamua kujiweka kando.
 
yafuatayo yanaweza kuja humu jamvini kujibu hii hoja yako
1. Anaweza kuja mtu akakuambia Mtatiro ni kibaraka wa CDM
2. Mwingine anaweza kuja akasema mtatiro ni mkristo hivyo ana mrengo wa wakristo wenzake cdm!!!
3. Wengine watakuja watakuambieni kahongwa na cdm
4. Wengine watasema Mtatiro hajui kitu!
5. Wengine watasema wewe mleta hoja ni CDM ndio maana unamsifia mtatiro
6. Wengine watakuambia anatumika kisiasa
7. Wengine watasema hana chochote huyo!

Na bado wengine watasema ni MSALITI kama ilivyo kauli mbiu yenu.
 
yupo vizuri hata kwenye kujenga hoja ccm wanamtamani sana kutumia lakini wameshindwa ana msimamo siyo kama mnafiki zitto
 
Back
Top Bottom