Mwanamke akikwambia umchagulie nguo au viatu vya kuvaa usimchagulie mkuu.We wanakuwa wameshachagua ila ankusare tu......i admit that, wanawake wana nguo nyingiii hatar , cha kushangaza inafika siku ya safari hata nguo ya kuvaa anaanza kuchagua then atakwambia "nivae nguo gani babe" mi huwa najibu vaa night dress nguo kuvaa problem
√Kingine ni muda asee, najua mwanamke mkiwa mnatoka akikwambia nisubiri heeee, yani toa nguo anza kufua itakuwa ni zaidi ya lisaa, anyway hawako makini na swala la ku keep time