Waajemi nadhani ndio race yenye mchanganyiko wa race nyingi zaidi kutokana na historia na geographical location. Vita vingi sana viliendeshwa maeneo yao hivyo kuwa na mchanganyiko mkubwa sana wa mataifa kuanzia enzi za Babeli (wakaldayo), Alexander the Great (wazungu), Ottoman (wagalatia), Islam propagation (waarabu), Genkis Khan (wamongolia/wachina), n.k. Pia eneo hilo lilikuwa route muhimu ya kibiashara tangu enzi za kale. Hivyo, waajemi wana mchanganyiko wa uzungu, uarabu, uhindi, uchina, na hata uyahudi.