Tofauti kati ya viongozi wa Kenya na Tanzania katika kutii maagizo ya mahakama

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
570010a534e8907e2ef40dae265fdd56.jpg
Hivi ndivyo mchora katuni wa DW Said Michael anavyoangazia tofauti kati ya viongozi wa Kenya na Tanzania katika kutii maagizo ya mahakama.

Chanzo: DW kiswahili
 
570010a534e8907e2ef40dae265fdd56.jpg
Hivi ndivyo mchora katuni wa DW Said Michael anavyoangazia tofauti kati ya viongozi wa Kenya na Tanzania katika kutii maagizo ya mahakama.

Chanzo: DW kiswahili
Wakenya ni wajinga, leo wabunge wa Jubilei wamesema watapiga kura ya kutokuwa na imani na jaji mkuu! Yaani nimecheka sana.........!!!!!!
 
Kenyata:Hatukubali maamuzi ya watu milioni 40 yafutwe na watu sita
Aache kulalamika... si amesema kuwa hata Odinga akishinda uchaguzi wa marudio, atamuondoa madarakani kwani chama chake kina idadi kubwa ya wabunge?
 
Wakenya wamefunzwa kwa maumivu makali ya 2007 sasa Tanzania naona watawala nao watajifunza baada ya kupelekwa ICC.

Mjinga huwa hajifunzi kitu hadi apate maumivu.
 
Back
Top Bottom