Tofauti kati ya ushamba na ulimbukeni

mchizzy

Member
Jun 27, 2023
31
19
Nimekaa nimefikilia kunavitu huwa nachanganya kati ya USHAMBA na ULIMBUKENI naombeni wakuu mnipe maana hizo kwa mifano, nasema Ivo kwa sababu kuna manzi mmoja tulikuwa na appointment tutoke twende club lakini dress alizo vaa duu Kama anaenda kitchen part nikajiuliza sasa huu ni USHAMBA au ni nini aisee nilichoka

karibuni
 
Do the needful tuone alivovaa kwanza! Wajuvi wasijemchamba kumbe wewe ukawa ndie mshamba!
 
alikuwa amevaa gauni ndefu na viatu vya kuchoma ardhi ikabidi nibadili uwelekeo sikuwa na namna
Viatu vya kuchoma ardhi hahaa! Ungeweka Picha ingependeza zaidi!!

Hivi club wanavaa nguo gani kwanii hebu mnitoe ushamba wajuvi!
 
Nimekaa nimefikilia kunavitu huwa nachanganya kati ya USHAMBA na ULIMBUKENI naombeni wakuu mnipe maana hizo kwa mifano, nasema Ivo kwa sababu kuna manzi mmoja tulikuwa na appointment tutoke twende club lakini dress alizo vaa duu Kama anaenda kitchen part nikajiuliza sasa huu ni USHAMBA au ni nini aisee nilichoka

karibuni
Si kila mtu ana uzoefu wa mazingira ambayo wewe una uzoefu nayo. Huenda club sio mazingira yake. Huenda yeye zaidi hupendelea kwenda kanisani. Hana hayo mavazi ya club. Kama unampenda, badala ya kumbadika hapa ili hii hadhara imjadili, mbadilishe ili arandane na 'ujanja' wako.
 
Back
Top Bottom