nyonyoma Member Feb 26, 2020 5 7 Mar 9, 2020 #1 Aaaha napenda tufikie hatua hiyo nikiwa hai niifokee kweli kweli. Sent using Jamii Forums mobile app
Mtuflani Official JF-Expert Member Dec 31, 2019 1,938 4,354 Mar 9, 2020 #3 Nchi masikini inapokea misaada. Nchi tajiri ni “dona kantri” Sent using Jamii Forums mobile app
Elungata JF-Expert Member Jan 28, 2011 40,205 33,224 Mar 9, 2020 #4 Yaani mwananchi tu wa kawaida,mchumia tumbo aifokee serikali?....thubutu.
kizaizai JF-Expert Member Mar 31, 2010 5,342 6,495 Mar 9, 2020 #5 Elungata said: Yaani mwananchi tu wa kawaida,mchumia tumbo aifokee serikali?....thubutu. Click to expand... Dahhh kweli ubaguzi umekujaa. Mchumia tumbo ndio raia wa aina gani?
Elungata said: Yaani mwananchi tu wa kawaida,mchumia tumbo aifokee serikali?....thubutu. Click to expand... Dahhh kweli ubaguzi umekujaa. Mchumia tumbo ndio raia wa aina gani?
Elungata JF-Expert Member Jan 28, 2011 40,205 33,224 Mar 9, 2020 #6 kizaizai said: Dahhh kweli ubaguzi umekujaa. Mchumia tumbo ndio raia wa aina gani? Click to expand... Ha ha ha,mkuu usifadhaike,saa ingine tunachombeza tu kufikisha ujumbe,uwage unasoma katikati ya mistari.
kizaizai said: Dahhh kweli ubaguzi umekujaa. Mchumia tumbo ndio raia wa aina gani? Click to expand... Ha ha ha,mkuu usifadhaike,saa ingine tunachombeza tu kufikisha ujumbe,uwage unasoma katikati ya mistari.