Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,808
- 15,578
Kwa nini?Kweli inawezekana niko tofauti asee spendi mijanaume minene mipana looh
Kwa nini?Kweli inawezekana niko tofauti asee spendi mijanaume minene mipana looh
Mkuu nikiona avatar yako nacheka nakumbuka kuna member alikudiss eti ni kama za mafundi weldingwewe ni mwembamba au mnene?
Mkuu nikiona avatar yako nacheka nakumbuka kuna member alikudiss eti ni kama za mafundi welding
Haupo peke yako hata me siwapendiKweli inawezekana niko tofauti asee spendi mijanaume minene mipana looh
Kuna tafauti ya mwanaume mwembamba na mwanaume aliyekonda mjue hilo hakuna mwanamke atakayekubali apandwe na kitu chenye afya dhoofu, kuleni mshibe.sasa kwanini kila anaetafuta mwanaume utasikia anasema hapendi mwembamba
Yani mwanaume mnene kitendo cha kunitongoza tu mdomoni koote nakua nmejaa mate utadhani nina ujauzito kiukweli hapana..wanaume wanene mniwie radhiHaupo peke yako hata me siwapendi
Hata mie ni michafu haijui kujiosha sawia yaan kichefuchefu... wembamba wako safi sana na wanajituma mno ktk game sio wavivuu ila hao wanene wanawahi kuchoka ni wavivu balaaa...Kweli inawezekana niko tofauti asee spendi mijanaume minene mipana looh
Haswaaa yani umenenaNi mic
Hata mie ni michafu haijui kujiosha sawia yaan kichefuchefu... wembamba wako safi sana na wanajituma mno ktk game sio wavivuu ila hao wanene wanawahi kuchoka ni wavivu balaaa...
Mimi sipendi wanawake ambao hawana chura!Haupo peke yako hata me siwapendi
Kuna asiekujua mpenda churaàaaa hahhhMimi sipendi wanawake ambao hawana chura!
Hahahah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si ungejaribu kuchukua nawe hao wanaume ujue wana nini.
Ptuuuuuu [emoji25]Yani nilivyo na kinyaa na mwanaume mnene khaa
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ninachofahamu ni kwamba wanawake wanatupenda zaidi sisi wanaume wembamba hasa tulio na miilia iliyojengeka kimazoezi.
Na sababu kubwa ni ukweli usiopingika kuwa tu wanyumbulifu,watundu,wabunifu na wenye pumzi pindi tuwagegedapo vilevile mishedede yetu ni mujarabu.
Sasa mabonge vitu hivi adhimu hawana ukijumlisha na vibamia vyao basi ni majanga matupu.
Mabonge mapovu sitaki mimi nimemjibu mtoa mada.
Na ngoja tuanze kunywa na mayai kama vyatu vitumbo vifure zaidi mtuchukie zaidi.Haupo peke yako hata me siwapendi
Yani mwanaume mnene kitendo cha kunitongoza tu mdomoni koote nakua nmejaa mate utadhani nina ujauzito kiukweli hapana..wanaume wanene mniwie radhi
Kudadeki zake we muache tuMkuu nikiona avatar yako nacheka nakumbuka kuna member alikudiss eti ni kama za mafundi welding