Tofauti kati ya mtu anayejitambua na asiyejitambua

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
3,485
5,819
MTU ANAYEJITAMBUA NA ASIYEJITAMBUA.

Leo jijue upo katika kundi Gani.


1. MTU anayejitambua hawezi kuwa mtu wa dini ila anakua mtu anayeamini katika Mungu, kwakua dini Kwa mwafrika zilitungwa na mkoloni KUMTAWALA muafrka. Pia anayejitambua hufahamu mababu walitumia Imani vizuri na walisikilizwa na Mungu vizuri na walikua na maadili vizuri KULIKO Sasa. ASIYEJITAMBUA ni mdini, anaweza kuwa katika dini yoyote kati ya hizo za Abraham. Muislam ataita waliojitambua makafiri, na ndugu yake mkristo atamuita aliyejitambua "mpinga kristo" yani mpinga mkoloni.

2. Aliyejitambua anaamini katika kemikali za UAFRIKA kama chanzo Cha miujiza hivyo akiambiwa Kuna mtu mweupe aliyetenda miujiza kwake ni vituko Kwasababu miujiza hukaa kwenye mwili unaopatana na JUA(mwili wenye melanini nyingi) ASIYEJITAMBUA huamini kilichoandikwa tuu BIla kutafiti aliandika nani, ndiomana akiambiwa mtu asiye na melanini za kutosha aliwahi kutenda miujiza anaamini.

3. Anayejitambua hujua CHIMBUKO lake, mfano Muafrka anatokea eneo lililopatikana fuvu la mwanadamu WA kale ZAIDI, miaka ZAIDI ya milioni Moja iliyopita. ASIYEJITAMBUA huamini katika Adam na Eva ambaye hajulikani aliishi wapi na walioandika wanasema aliishi miaka ya 3000 BCE tuu , ,ambapo Muafrika alikua ameshaexist miaka ZAIDI ya milioni.

4. Aliyejitambua ANAAMINI katika weupe na weusi kama ushetani na uungu, ndiomana hashangai mzungu kutengeneza ugonjwa alafu kuifanya BIASHARA yake. ASIYEJITAMBUA anaamini wazungu au weupe wana akili na maarifa sana, na ni mtakatifu ndiomana akitengenezewa UKIMWI anakemea shetani na Kisha anafariki Kwa ujinga wake.

5.anayejitambua anaamini kwamba yupo vitani, weupe hutumia movies kuonesha watu weupe tuu, hutengenezea picha kuonesha watakatifu weupe tuu, hutengenezea madawa ya kutoa mimba Ili kutengeneza wanawake WENGI wa kiafrika wawe wagumba huku Afrika, ASIYEJITAMBUA Haamini kama yupo vitani ndiomana anaweza kuiombea ISRAEL isiyomsaidia kitu chochote, au AKAIOMBEA MAREKANI inayomtengenezea ukimwi, magaidi na visukari

UPO UPANDE GANI?????
 
Hiyo asili ya muafrica ni ipi hasa?? Mababu unaowaongelea si ndo hawa waliwauza wenzao kwa mzungu??

Huku nilipo enzi hizo kulikua na machifu ambao huo uongozi upo mpaka leo.
Hao machifu wanasifika kwa uchawi na ulozi wa kiwango cha juu mno. Na enzi zao hao ndo walikua miungu watu, kila kitu ilikua ni chifu.

Sasa mkuu turudi kule tena, baadhi ya imani za kiafrika za zamani zilikua za kishenzi sana.

Mnaoshadadia kurudi kule labda kwa makabila yenu hali ilikua shwari ila kwa wengine ni mara 100 mkoloni alikuja.
 
Back
Top Bottom