Tofauti kati ya msichana na mwanamke


well said.....
 
Huenda ukanielewa,ngoja nijaribu,
Mwanamke ni binadamu mwenye jinsia ya kike ambae ana ukomavu kiakili

Msichana ni bonadamu mwenye jinsia ya akili asiyekuwa na ukomavu kiakili

The same thing kwa Wanaume na wavulana!

Ok ahsante kwa jibu lako
 
Yes, ni mwanamke tayari. Ikitoka tu, si msichana tena.

kwahio uanamke uko kwenye bikra na haina uhusiano na mental state/maturity??namaanisha hata kama mtu hajakomaa kiakili ila si bikra tayari ni mwanamke.
 
Binti ni yule ambae ana seal (bikra) yake.

Mwanamke ni yule ambae seal (bikra) imebanduliwa.

Kuna mmoja kaolewa karibuni akiwa na miaka 40 ila ni bikra umri huo bado tunamuita msichana?
 

Wow real good am glad that am a lady.
 
Kwanza mtoa mada na jamaa zako, mnakosea kubishana kwa kitu kisichokuwepo. Kwa nyakati hizi tulizonazo, hakuna kitu kinachoitwa msichana, bora mgeulizana nini tofauti kati ya mtoto wa kike na mwanamke
 
kwahio uanamke uko kwenye bikra na haina uhusiano na mental state/maturity??namaanisha hata kama mtu hajakomaa kiakili ila si bikra tayari ni mwanamke.

Huwezi kumuita mwanamke ambae hana bikra msichana, labda uwe hujui.
 
huenda ukanielewa,ngoja nijaribu,
mwanamke ni binadamu mwenye jinsia ya kike ambae ana ukomavu kiakili

msichana ni bonadamu mwenye jinsia ya akili asiyekuwa na ukomavu kiakili

the same thing kwa wanaume na wavulana!

katika wote humu wewe ndo genius hao wengine hamna kitu kabisaaa
 
Kwanza mtoa mada na jamaa zako, mnakosea kubishana kwa kitu kisichokuwepo. Kwa nyakati hizi tulizonazo, hakuna kitu kinachoitwa msichana, bora mgeulizana nini tofauti kati ya mtoto wa kike na mwanamke

Lol! Umenichekesha kwann mbona wapo wengi tu.
 

well said
 
Msichana ni mtu mwenye jinsia ya kike ambaye hajatimia umri wa utu uzima


Mwanamke ni mtu mwenye jinsia ya kike ambaye ameshatimiza umri wa utu uzima..

Huo umri wa kuwa mtu mzima ni kuanzia umri gani mkuu?
 
Msichna ni mwananmke ambaye hajatimiza miaka 35
 
Kitamaduni halisi ni hivi:- Msichana = Binti anaruhusiwa shughuli (kusoma/kazi/matembezi,nk) zake nyakati za mchana tu!!
Mwanamke = Bibie alokuwa timamu ana uhuru wa kutosha.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…