LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,223
wakuu naamini hapa kutakuwa na mafundi na watu wenye ujuzi na ufaham wa magari swali langu mm kubwa ni ipi tofauti hasa ya gari za d4 na vvti?? kiundani zaidi utendaji wake kazi faida zake na hasara zake?. na je kwa zile gari zilizo combine vyote d4 na vvti inakuwaje?? najua wengi watashuka na copy na pest za google ubaya ua uzuri mtakuwa mmeniacha njiapanda coz kimombo hakipandi sana so utakuwa umeninyima uhondo?? mm nifund so nahitaji faham kiundani zaidi ili hata mtu akiniuliza niweze mdadavulia vizuri na kwa kina??. na kama atatokea mdau atapendezewa zaidi kunielewesha kwa kina plz ni pm phone namba yako mm nitakupigia natanguliza shukrani zangu.