Tofauti kati ya CHADEMA na Vyama vingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti kati ya CHADEMA na Vyama vingine

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by jambo1, Aug 7, 2011.

1. jambo1

jambo1 JF-Expert Member

#1
Aug 7, 2011
Joined: Jul 5, 2009
Messages: 242
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Chadema ni chama Makini kinachosimamia Kile Wanachokiamini na Maamuzi yake kwa Ujumla..!Vyama vingine bado vinasita kusimamia maamuzi yake hasa Magamba..!Hongera Chadema kwa kusimamia maamuzi ya kamati kuu..!
Wadau mnaweza leta tofauti nyingine najua zipo nyingi..!

2. J

JACADUOGO2. JF-Expert Member

#2
Aug 7, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 930
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
1. Ni chama makini
2. Hakitaki ufisadi, rushwa, ubadhirifu na uujumu uchumi
3. Viongozi wake ni makini
4. Wanachama makini
5. Hakina wambea wambea kama Ndugai
6. Kinasimamia haki na usawa kwa wananchi!

3. Mkuu wa chuo

Mkuu wa chuo JF-Expert Member

#3
Aug 7, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,253
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
ni chama makini sana!

4. Nyota Ndogo

Nyota Ndogo Senior Member

#4
Aug 7, 2011
Joined: Aug 7, 2011
Messages: 152
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
wenye mawazo ya kipumbavu kwamba chadema hakifiki 2015 watafute kazi nyengine ya kufanya.

5. Mungi

Mungi JF Gold Member

#5
Aug 7, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180
CDM ni chama chenye dhamira ya kweli, yenye kuleta ukombozi wa kweli wa nchi hii, ni chama kinachosimamia kila kinachoamini, tofauti na vyama vingine vya siasa hususan magamba na wanawe.

6. k

kamanda mkuu Member

#6
Aug 7, 2011
Joined: Aug 5, 2011
Messages: 15
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Chama makini na chenye watu makini ndio hufanya maamuzi makini kama chadema na ni ngumu sana kwa chama kama magamba kufanya maamuzi magumu kama haya ya chadema kwa kuwa kama magamba watachukua maamuzi magumu ina maana kuwa hakutakuwa hata na rais kwani hata yeye yupo ktk wale watu waliodaiwa kuwa mafisadi,kwa hiyo kama ni maamuzi magumu yaanze kwa mkuu mwenyewe na kwa magamba hilo haliwezekani na hiyo ndio tofauti kati ya chadema na magamba na vyama vingine vibaraka wa magamba.

7. P

PWIDO1 Member

#7
Aug 7, 2011
Joined: Aug 7, 2011
Messages: 12
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Hakina udini,ukabila pia wabunge wake wa viti maluum hawatoki sehemu moja ya mkoa n.k

8. Wa Ndima

Wa Ndima JF-Expert Member

#8
Aug 7, 2011
Joined: Aug 13, 2010
Messages: 1,512
Likes Received: 39
Trophy Points: 145
Kina malengo ya kuleta maendeleo ya kweli na ukombozi, haki kwa mtanganyika tofauti na Magamba

9. The Son of Man

The Son of Man JF-Expert Member

#9
Aug 7, 2011
Joined: Feb 9, 2010
Messages: 12,126
Likes Received: 1,705
Trophy Points: 280
Sawasawa

10. Kamende

Kamende JF-Expert Member

#10
Aug 7, 2011
Joined: Mar 1, 2008
Messages: 415
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
The difference is
CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!
PEOPLES' POWER!!!!!!!!!!!!!

11. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#11
Aug 7, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,991
Likes Received: 733
Trophy Points: 280
Swadakta...............

12. kanyasu

kanyasu JF-Expert Member

#12
Aug 7, 2011
Joined: Feb 9, 2009
Messages: 235
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
huu ni ujinga mtupu,kinachoendelea chadema ni samaki mkubwa kummeza mdogo basi

13. SOKON 1

SOKON 1 JF-Expert Member

#13
Aug 7, 2011
Joined: Dec 28, 2010
Messages: 1,114
Likes Received: 83
Trophy Points: 145

Siku 120 bado hazijaisha?

14. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#14
Aug 7, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Ndicho chama ambocho nyerere angekuwepo angehamia na kuendeleza mapambano!

15. C

CBN Member

#15
Aug 7, 2011
Joined: Aug 5, 2011
Messages: 64
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Tunataka Nape atoe maoni yake nae kwa anavyokijua..

16. andrewk

andrewk JF-Expert Member

#16
Aug 7, 2011
Joined: Apr 13, 2010
Messages: 3,103
Likes Received: 55
Trophy Points: 145
Hayo ndio makalio aliyosema mwanaccm masaburi..... Kilichotokea chadema leo kimefanyika sana ndani ya tanu na ccm, fanya utafiti kwa nini mzee masha - baba wa waziri wa zamani lau, nini kilimkuta 1965?

17. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#17
Aug 7, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,235
Likes Received: 63
Trophy Points: 145
ni kwamba Chadema yupo Tundu Lissu....

18. jogi

jogi JF-Expert Member

#18
Aug 7, 2011
Joined: Sep 25, 2010
Messages: 19,335
Likes Received: 12,799
Trophy Points: 280

hivi samaki mkubwa alizaliwa akiwa mkubwa, au naye kuna wakati alikuwa mdogo!! kuuona ujinga wa wenzio inaweza sababishwa na na wako upumbavu, wasiliana na akili yako.

19. KakaJambazi

KakaJambazi JF-Expert Member

#19
Aug 7, 2011
Joined: Jun 5, 2009
Messages: 15,017
Likes Received: 3,204
Trophy Points: 280
Ni chama kinachoongoza kupingwa na vyama vyote.

20. n

ngwendu JF-Expert Member

#20
Aug 7, 2011
Joined: Jun 7, 2010
Messages: 1,967
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Asante. wenye akili tumeelewa unachokimaanisha. Asante again

Loading...