CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,915
bunge la tanzania linautofauti mkubwa sana na mabunge mengine ya africa mashariki kama ifutavyo.
1. kupongezana- bunge la tanzania ndo pekee linaongoza kwa kupongezana mabunge mengine wao ni kuchapa kazi tu
2. wageni- sijawahi ona bunge la kenya au uganda au rwanda likitembelewa kila kukicha na wageni, nashindwa kuelewa kwa nini la tanzania wageni hawaishi.
3.upotezaji wa muda- bunge la tanzania ndo linaongoza nazani hii ni duniani kwa kupoteza muda kwa mambo yafutayo.
- kusoma matangazo.
- kutambulisha wageni
- kupongezana
hivi vyote mabunge mengine havipo.
4. maswala yasiyo na tija kama bunge sport club, mabunge yaliyo sereasi na maswala ya nchi huwe wakuta eti wanacheza mpira